Hii kwa wanaume wote

Robo tatu ya watu wenye tamaa huwa wanatusua nmeshuhudia wengi wakitoboa Kwa kuwaumiza wengine wachache ndo huwa wanafeli japo Mimi binafsi naamini katika subra kama nikikosa basi lakini lazima nipate

Ni sahihi, ukiwa na tamaa lazima uwe smart sana katika kuidhibiti tamaa yako. Maana imeandikwa kiburi na tamaa ndivyo vinavyotangulia kuanguka au mauti
 
ilikuaje ukavizia utajiri kupitia siasa Hadi kutapeliwa 500k na mganga asiyejua kusoma Wala kuandika ?
ilikuaje ukavizia utajiri kupitia siasa Hadi kutapeliwa 500k na mganga asiyejua kusoma Wala kuandika ?
ni kibaka wa siasa pekee ndie anaweza kuwatapeli wenye imani potofu wenzake kwamba eti wanaweza kushinda uchaguzi kwa ushirikina wa no reform no elections,

kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu,

kulalamika kwamba eti hakuna ajira wakati ajira za uhakika na za kutosha zipo shambani, nao pia ni ushirikina vile vile πŸ’
 
Hustle hustle the end justifies the means
 
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu,

kulalamika kwamba eti hakuna ajira wakati ajira za uhakika na za kutosha zipo shambani, nao pia ni ushirikina vile vile πŸ’
Naona mbolea mnauzia Zambia huku za kwenda kwa Mama zetu mnazijaza mchanga.

Ajabu siwaoni mkiachia viti mkakimbilia mashambani ili tuone kwa Vitendo kuwa mnatenda mnayosema au huwa mnalimia Bungeni mule mule ?
 
Yes,
kuna maeneo nchini ni muhimu kutumia mbolea but pia kuna maeneo kabisa hawatumii mbolea na wanavuna kweli kweli kweli,

Last year nililima ekari mia4,
This year nimeongeza ekari mia2 mkoa mwingine..

unadhani ni ajira ngapi naweza kuwapatia vijana nchini katika hizo ekari mia6?

wewe umeng'ang'ana tu mjini πŸ’
 
Kwahiyo ukienda tu mashambani tayari unaanza kupata ekari 100 na zinajilima sio ?
Hongera kwa kulima Kama Ni kweli.
Mana najua fujo zote zilizopo kila Mahali ni kwakuwa watu wanashiba.

Suala la kuajiri Hilo Mimi sielewi Kama umebakia na mfumo wa Mkoloni au wa kisasa na sijui Kama una Mkono wa birika ( Kipare ) na unyonyaji.
 
Na kwa taarifa yako,
kwasabb ya ule upendo niko nao kwa wanainchi, hata kabla sijaruhusu watu kuanza kupalili shamba langu, tayari kila msaka ajira ameshakata na kujipimia kipande chake cha kulima.

Always,
mimi huo nalipa malipo ya juu kidogo zaidi ya wakulima wengine, na kwahivyo shamba langu huwa la kwanza kupaliliwa na kuvunwa kwa ufanisi na mafanikio makubwa sana kwangu na niliowajiri shambani kwangu,

hakuna ukolini,
na siku ya mwisho, hususani ya mavuno huwa tuna kula mbuzi zaidi ya wa3πŸ’
 
Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…