Hii kwa wanaume wote

Umeanza siasa Sasa Kamanda.
Sudden change ya politeness imetokea wapi ?
Mbona Kama unarise likability hapa Kamanda ?
Like of influence inakujaga na vifungu vya sentensi za kushawishi.

Kada umenikosa Sasa😂
mimi sina makosa gentleman,
labda makosa ni kusema ukweli right?

ajira za uhakika na za kutosha zipo shambani gentleman 🐒
 
Muongo wewe, unalimia kitandan?
 
Apa muda huu wa Jumamosi mepita njia ya Dodoma kwenda Kondoa/Arusha nkafika sehemu panaitwa Msalato - Mnadani naona wanaume kibao wamesha tamani pisi Kali huko mjini wamekuja nazo mnadani ...wote pamoja wanatamani nyama choma
Karibu Makutupora mamaa
 
Nadhani watu u,commit fraud hakuna kingine zaidi yakuwa na financial pressure, greed, opportunity, and rationalization.

Wewe unahisi kwanini watu u commit fraud???
Nadhani ni hii uloisema greed,, na financial security...

Lakn mkuu unadhan haiwezekani kuish kwa kuridhika na vitu vichache....
 
Marafiki 58.!! Hivi nyie mnaweza vipi kuwa na marafiki wengi kiasi hicho?
 
Acha urongo, huyo Heche yuko vizuri. Ana mashamba makubwa ya parachichi pamoja na shamba kubwa la ufugaji wa ng'ombe. Huyo jamaa namfahamu vizuri sana.
 
Bila kutamani huwez kutoboa na kufika mbali. Mafanikio huanza na tamaa kwanza lakn tusitaman nje na uwezo wetu hakuna asie taman mkuu
 
Sure najua ila maisha yamejaa ajali na bahati mbaya unaweza usiwe na tamaa ila wenye tamaa wakakusababishia bahati mbaya
Haja sema waliopo hospital wote. Huenda hao marafiki zake wasinge kuwa na haya aliye ya eleza wasinge kuwa huko.
 
Acha urongo, huyo Heche yuko vizuri. Ana mashamba makubwa ya parachichi pamoja na shamba kubwa la ufugaji wa ng'ombe. Huyo jamaa namfahamu vizuri sana.
Yes,
uko sahihi sana gentleman,
huyo muungwana yupo vizuri mno kubeti, hilo halina ubishi, alinifurahisha sana kuacha bangi.

alitumia vibaya sana pension yake ya ubunge, na hata sura inaonyesha tua alivyo na stress
 
Inawezekana kabisa kuishi kwa kuridhika na vitu vichache, lakini inategemea mtazamo wa mtu binafsi na mazingira anayokulia.
Kweli mkuu, sema dunia ya leo inatudanganya... if you're not pursuing stuff inaonekana kama you're not measuring up.....

Wengne wanatafuta vitu au wanakuwa na tamaa ya vitu just for the sake of making a name for themselves... TOO SAD..
 
Umezungukaa sana, ila nia yako ni kuongelea USHOGA.
usipangie watu maisha, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…