Hii game zaidi ya promo kubwa, kwenye pitch hamana kitu cha ufundi zaidi ya minguvu tu! Wachezaji hata kutuliza mpira ni shidaπ€£ππKipindi tukibaki na usingizi wa "derby ya tano afrika"naangalia mashemeji derby ikiwa imenoga sana hapa
Hii inanifariji kwamba ule upuuzi wa kariakoo huenda ukafutika mda si mrefu kwa kupata mbadala wake na utabaki kuwa wa viongozi na wanasiasa
Ni vile vile kama Ile ya bonanza iliyoahirishwa/futwa by the time nadhani wanarejea kwenye pic kumbuka Azam yuko kule huenda wakaboresha zaidiHii game zaidi ya promo kubwa, kwenye pitch hamana kitu cha ufundi zaidi ya minguvu tu! Wachezaji hata kutuliza mpira ni shidaπ€£ππ
Ila boli halina quality π€£π€£π€£π€£Wamejaa sana Leo Nairobi yote ipo uwanjani
Hadi kocha kashangaa sana pale ππIla boli halina quality π€£π€£π€£π€£
Mpuuzi mmoja hapa kakosa bonge la nafasi
Walikuwa na foreigners wengi TU enzi ikiwa derby kweli ikafa Sasa inarejea ni kweli wanahitaji pro wakuweka radha kwenye derbyNacheki hii game
Wanacheza kama mechi za simba na yanga ya miaka 15 au 20 huko nyuma
mpira wa kizamani sana huu wa kukamiana kizembe hivi
mpira ni nguvu nguvu nguvu na kukimbazana kama mang'ombe tu
mpira hauna maarifa wala ufundi ni zero
waaxhe ujinga walete foreign pros wawasaidie kubadilisha soka la kinazi hili
makelele tu kibao