Hii 'Mashemeji derby' inaenda kufuta ule upuuzi wa Kariakoo

Hii 'Mashemeji derby' inaenda kufuta ule upuuzi wa Kariakoo

Mpira wetu wa Bongo,tukiendeleza Ujinga Ujinga huu watu kuwa ba matokeo nje ya uwanja,Ligi yetu itakuja kukosa Mvuto ....Ukiangalia Rwanda na nchi nyingine za jirani leo tunaona Kenya pia mwamko wa mpira umekuwa mkubwa,huku Kwetu tuache Janja janja,mara Timu moja ina timu zake kwenye Ligi,eti matokeo tayari watu wanaenda kucheza unajua kabisa Yanga anashinda,hili jambo sio la Afya kabisa kwenye mpira.Nadhani Simba na Azam kama vilabu vikubwa ndio vinacheza mpira wa ushindani na matokeo yao ya uwanjani ni Halisi kabisa hayana kipengele.

Ila tuseme ukweli Yanga wanatuharibia ligi ya NBC,mwishoe ligi yetu mvuto utakosekana.Natamani turudi miaka ya nyuma ile kweli kinapigwa unaona Simba inaenda Mbeya haitoki,hapa unasema ligi Kuu kweli...
Kama hivi Tabora vs Yanga unaona kabisa jamaa washafanya mambo nje ya uwanja na kutaka kushinda.Yani vurugu vurugu tu halafu wasimamizi wa Soka wapo Kimya kukemea hili...

Ubora wa Ligi yetu ya NBC unaenda kuisha yasipokemema haya.

GENTAMYCINE
@
Simba alichukua mara nne na Yanga hakuwa analia Lia kama Simba ambao hawataki kuona yanga akitamba kwenye enzi yake
Mpira ni wakati na Sasa wakati ni WA yanga
 
Niko impressed na performance ya waamuzi wa Kenya.... Very good refereeing.
Na ukiangalia game zao zote huwa wako wima hawana Kona Kona japo mechi zao watu wanaziona za ajabu na ni kweli za ajabu ila Kuna mahali wanaenda hasa baada ya kumuondoa Nick Mwenda jamaa kama aliharibu soka la Kenya ingawa pia ndie kajenga msingi wa tunayoyaona sasa
 
Mechi kali, waamuzi wako makini, pitch iko good, hali ya hewa ya leo Nairobi ilikuwa superb...

Tz tuna la kujifunza kwenye game za Dabi.
Yaani Tanzania ijifunze kwenye derby za mashemeji? You can't be serious! Msuli wa timu za Tanzania ni mkubwa mno kuanzia uwekezaji wa fedha na quality ya players.

Acheni kusifu ujinga, level za hizo Gor mahia na FC leopard ni za akina pamba Jiji, Dodoma Jiji na akina coastal union ila siyo Simba, Yanga, Azam.
Hatuwezi kujifunza hapo we are far ahead of them.
 
Mpira wetu wa Bongo,tukiendeleza Ujinga Ujinga huu watu kuwa ba matokeo nje ya uwanja,Ligi yetu itakuja kukosa Mvuto ....Ukiangalia Rwanda na nchi nyingine za jirani leo tunaona Kenya pia mwamko wa mpira umekuwa mkubwa,huku Kwetu tuache Janja janja,mara Timu moja ina timu zake kwenye Ligi,eti matokeo tayari watu wanaenda kucheza unajua kabisa Yanga anashinda,hili jambo sio la Afya kabisa kwenye mpira.Nadhani Simba na Azam kama vilabu vikubwa ndio vinacheza mpira wa ushindani na matokeo yao ya uwanjani ni Halisi kabisa hayana kipengele.

Ila tuseme ukweli Yanga wanatuharibia ligi ya NBC,mwishoe ligi yetu mvuto utakosekana.Natamani turudi miaka ya nyuma ile kweli kinapigwa unaona Simba inaenda Mbeya haitoki,hapa unasema ligi Kuu kweli...
Kama hivi Tabora vs Yanga unaona kabisa jamaa washafanya mambo nje ya uwanja na kutaka kushinda.Yani vurugu vurugu tu halafu wasimamizi wa Soka wapo Kimya kukemea hili...

Ubora wa Ligi yetu ya NBC unaenda kuisha yasipokemema haya.

GENTAMYCINE
@
Naona umemuita zero mwenzako aje akuunge mkono kwenye ujinga wako
 
Bado sana kenya. Wew tazama waliovaa jezi kwanza. Angalia quality ya jezi zao, wanavaa jezi za arsenal na Man U kwenye derby.
Mchezo umejaa sana nguvu kuliko tactics.
Uwanja ni mdogo na low quality.

Mechi yao imeahirishwa mara mbili kwa sababu ya ukosefu wa uwanja.

Ukitazama comments kwenye media za kenya utaona jinsi ukabila ulivyotamalaki.
kenya hadi kwenye mpira. Timu hiz zimekaa kikábila sana. Hata mashabiki baadhi washangilia na kuimba kikabila. Hili ni doa kubwa sana na wana safari ndefu kutufikia.
Kenya ni nchi ukiangalia kwa juu juu unaweza sema iko mbali sana lakini sio kweli, wao wanajua kubrag na kujimarket in a narsissitic way. Kiasi kwamba another person unaweza jiona unimportant.

Tatizo la watz ni kutojikubali
 
Bado sana kenya. Wew tazama waliovaa jezi kwanza. Angalia quality ya jezi zao, wanavaa jezi za arsenal na Man U kwenye derby.
Mchezo umejaa sana nguvu kuliko tactics.
Uwanja ni mdogo na low quality.

Mechi yao imeahirishwa mara mbili kwa sababu ya ukosefu wa uwanja.

Tatizo la watz ni kutojikubali
FKF inapata nguvu baada ya Azam kuweka mzigo na wao kujitutumua kwakua kwao Kuna makampuni mengi hivyo lzm wajitutumue watishe..na watatisha kweli maaana ktk advertising na marketing wako vzr
 
Wakenya ukiacha ukabila,ni watu wako na umoja sana.
Umoja wa kwenye ukabila. Ukabila wao uko strong kiasi kwamba media, kila mtu wa kabíla filáńí anasaport kitu fulani kwa kuwa wa kabíla fulani.

Msidanganywe na media. Kenya bado ni nchi inayoendeshwa kwa makabila. Kwa sasa Ruto anapata wakati mgumu kwa sababu wakikuyu wametoswa.
 
Back
Top Bottom