Hii 'Mashemeji derby' inaenda kufuta ule upuuzi wa Kariakoo

Hii 'Mashemeji derby' inaenda kufuta ule upuuzi wa Kariakoo

Wachezaji ambao hata kuzima mpira tuu ni shida ndio wazime kariakoo derby 🤔 hata kipindi ligi ya kenya ina wachezaji wazuri derby yao haikuwahi kua na mvuto kushinda kariakoo derby, mechi ya Simba na yanga kwa afrika mashariki haitawahi kupata mpinzani kwa namna yoyote ile
 
Tukisema haya tunaambiwa ni inferiority complex ila Kenya hata mechi ya Shabana na police unaliona joto kweli sisi joto litakuja baadae kwa team kugombea zisishuke daraja
Narudia tena "tusipokuwa makini tutapoteza bidhaa muhimu ya kimichezo"
FKF wamewapa kazi Ipsosy kuwafanyia utafiti mdg ktk Soka, hivyo wanajua wanachotaka hii sifa ya ligi na 4 Africa,Wakenya wanaifanyia kazi
 
Wachezaji ambao hata kuzima mpira tuu ni shida ndio wazime kariakoo derby 🤔 hata kipindi ligi ya kenya ina wachezaji wazuri derby yao haikuwahi kua na mvuto kushinda kariakoo derby, mechi ya Simba na yanga kwa afrika mashariki haitawahi kupata mpinzani kwa namna yoyote ile
Hahahaha
 
Hii nchi tatizo ina raia wa hizo nchi na wamepewa uhuru wa raia wa kawaida.
Sasa unaposema inferiority complex kwa sababu unatoa maoni ya hisia tu hayana ukweli.
Hii ni tabia ya watu wasio na elimu

Hata huko watanzania wamejazana tele. Mhamiaji halali ana haki zote kama raia wengine. Jielimisheni.

Watanganyika wana inferiority complex this is as clear as the day light nadhani ni athari za ujamaa. Wakisikia mkenya tu wanaloa.
 
Derby huzaliwa , hukua na huweza kufa. Mambo ya nje ya uwanja, wachezaji, wanasiasa, dini, ukabila, nimambo yanayochochea uwepo wa Derby. Matokeo ya uwanjani pia yanaweza kuua Derby mfano timu moja tu ikiwa inapata matokeo kila mara Derby inaweza kukosa mvuto.
 
Hawa Azam wanaifanya ligi ya kenya kuanza kupata nguvu. Umizingatia himara wa uchumi wa kenya na kuwa na makampuni makubwa, wakiamua kuweka hela kwenye mpira tujiandae muwa wanyonge.

Kwa sasa bado wanasoma upepo,ila coverage ya Azam inawapa platform kubwa ya matangazo.
 
Azam akiwekeza kama alivyofanya hapa bongolala ligi ya Kenya itatupita in 10yrs time.
Kenyans are monsters when it comes to opportunity.
Azam ingekuwa ya mkenya sawa, wakishagundua kuwa mtz atafaidika kamwe hawatathubutu kusapoti
 
Wengi wanawahofia wakenya ni washamba hawana exposure,Kenya ilikuwa zamani wakati watanzania ni wajamaa, kwasaiz wote ni mabepari ,ujamaa upo kwenye maandishi tu,mnaweza eleza ni kwanini tunawazidi hata kwenye tasnia za music na movies? Au na huko hawana wadhamini? Watanzania hawajawazidi wakenya kwa bahati mbaya,na huu utandawazi unavyoenea ndio Tanzania anazidi kuchukua opportunities za Kenya,hakuna dalal wa mwenzake tena,kila mtu anapeleka bidhaa yake sokoni moja kwa moja
 
Yaani Tanzania ijifunze kwenye derby za mashemeji? You can't be serious! Msuli wa timu za Tanzania ni mkubwa mno kuanzia uwekezaji wa fedha na quality ya players.

Acheni kusifu ujinga, level za hizo Gor mahia na FC leopard ni za akina pamba Jiji, Dodoma Jiji na akina coastal union ila siyo Simba, Yanga, Azam.
Hatuwezi kujifunza hapo we are far ahead of them.
Wewe umeangalia angle ipi au umekurupuka tu? Waamuzi, pitch, ushindani, hakuna vurugu nk. Mpira ni zaidi ya uwekezaji wa wachezaji.
 
Back
Top Bottom