Simba alichukua mara nne na Yanga hakuwa analia Lia kama Simba ambao hawataki kuona yanga akitamba kwenye enzi yakeMpira wetu wa Bongo,tukiendeleza Ujinga Ujinga huu watu kuwa ba matokeo nje ya uwanja,Ligi yetu itakuja kukosa Mvuto ....Ukiangalia Rwanda na nchi nyingine za jirani leo tunaona Kenya pia mwamko wa mpira umekuwa mkubwa,huku Kwetu tuache Janja janja,mara Timu moja ina timu zake kwenye Ligi,eti matokeo tayari watu wanaenda kucheza unajua kabisa Yanga anashinda,hili jambo sio la Afya kabisa kwenye mpira.Nadhani Simba na Azam kama vilabu vikubwa ndio vinacheza mpira wa ushindani na matokeo yao ya uwanjani ni Halisi kabisa hayana kipengele.
Ila tuseme ukweli Yanga wanatuharibia ligi ya NBC,mwishoe ligi yetu mvuto utakosekana.Natamani turudi miaka ya nyuma ile kweli kinapigwa unaona Simba inaenda Mbeya haitoki,hapa unasema ligi Kuu kweli...
Kama hivi Tabora vs Yanga unaona kabisa jamaa washafanya mambo nje ya uwanja na kutaka kushinda.Yani vurugu vurugu tu halafu wasimamizi wa Soka wapo Kimya kukemea hili...
Ubora wa Ligi yetu ya NBC unaenda kuisha yasipokemema haya.
GENTAMYCINE
@
Na ukiangalia game zao zote huwa wako wima hawana Kona Kona japo mechi zao watu wanaziona za ajabu na ni kweli za ajabu ila Kuna mahali wanaenda hasa baada ya kumuondoa Nick Mwenda jamaa kama aliharibu soka la Kenya ingawa pia ndie kajenga msingi wa tunayoyaona sasaNiko impressed na performance ya waamuzi wa Kenya.... Very good refereeing.
Yaani Tanzania ijifunze kwenye derby za mashemeji? You can't be serious! Msuli wa timu za Tanzania ni mkubwa mno kuanzia uwekezaji wa fedha na quality ya players.Mechi kali, waamuzi wako makini, pitch iko good, hali ya hewa ya leo Nairobi ilikuwa superb...
Tz tuna la kujifunza kwenye game za Dabi.
Naona umemuita zero mwenzako aje akuunge mkono kwenye ujinga wakoMpira wetu wa Bongo,tukiendeleza Ujinga Ujinga huu watu kuwa ba matokeo nje ya uwanja,Ligi yetu itakuja kukosa Mvuto ....Ukiangalia Rwanda na nchi nyingine za jirani leo tunaona Kenya pia mwamko wa mpira umekuwa mkubwa,huku Kwetu tuache Janja janja,mara Timu moja ina timu zake kwenye Ligi,eti matokeo tayari watu wanaenda kucheza unajua kabisa Yanga anashinda,hili jambo sio la Afya kabisa kwenye mpira.Nadhani Simba na Azam kama vilabu vikubwa ndio vinacheza mpira wa ushindani na matokeo yao ya uwanjani ni Halisi kabisa hayana kipengele.
Ila tuseme ukweli Yanga wanatuharibia ligi ya NBC,mwishoe ligi yetu mvuto utakosekana.Natamani turudi miaka ya nyuma ile kweli kinapigwa unaona Simba inaenda Mbeya haitoki,hapa unasema ligi Kuu kweli...
Kama hivi Tabora vs Yanga unaona kabisa jamaa washafanya mambo nje ya uwanja na kutaka kushinda.Yani vurugu vurugu tu halafu wasimamizi wa Soka wapo Kimya kukemea hili...
Ubora wa Ligi yetu ya NBC unaenda kuisha yasipokemema haya.
GENTAMYCINE
@
Ha hahahaha hapa umetumia kivumishi kusema hivyoWamejaa sana Leo Nairobi yote ipo uwanjani
😃😀Ha hahahaha hapa umetumia kivumishi kusema hivyo
FKF inapata nguvu baada ya Azam kuweka mzigo na wao kujitutumua kwakua kwao Kuna makampuni mengi hivyo lzm wajitutumue watishe..na watatisha kweli maaana ktk advertising na marketing wako vzrBado sana kenya. Wew tazama waliovaa jezi kwanza. Angalia quality ya jezi zao, wanavaa jezi za arsenal na Man U kwenye derby.
Mchezo umejaa sana nguvu kuliko tactics.
Uwanja ni mdogo na low quality.
Mechi yao imeahirishwa mara mbili kwa sababu ya ukosefu wa uwanja.
Tatizo la watz ni kutojikubali
Lakini derby ya kenya imeahirishwa mara mbili. Hebu fuatilia habari vzrGame ipo tough sana,
Jamaa wamejipanga soka safi sana wanapiga,derby ya bongo ina uswahili sana watu wanafanya kazi kwa maelekezo siyo weledi.
Umoja wa kwenye ukabila. Ukabila wao uko strong kiasi kwamba media, kila mtu wa kabíla filáńí anasaport kitu fulani kwa kuwa wa kabíla fulani.Wakenya ukiacha ukabila,ni watu wako na umoja sana.
Kumbe ndo mvivu wa kufuatilia hiv? Ndo maana unaandika nyuzi kama hiz za kujidharauYao haijaahilishwa kijinga
Sawa sawa, na Kwa mizengwe ya kariakoo derby ni km zamalekh na al ahlyKamwe hiyo Derby ya wajaluo na wakikuyu haitaizidi Kkoo derby. Acheni masikhara aisee. Wapinzani wa Derby ya Simba na Yanga wako South Afrika tu kwa ukanda wa SADC na EAC.