FKF wamewapa kazi Ipsosy kuwafanyia utafiti mdg ktk Soka, hivyo wanajua wanachotaka hii sifa ya ligi na 4 Africa,Wakenya wanaifanyia kaziTukisema haya tunaambiwa ni inferiority complex ila Kenya hata mechi ya Shabana na police unaliona joto kweli sisi joto litakuja baadae kwa team kugombea zisishuke daraja
Narudia tena "tusipokuwa makini tutapoteza bidhaa muhimu ya kimichezo"
HahahahaWachezaji ambao hata kuzima mpira tuu ni shida ndio wazime kariakoo derby 🤔 hata kipindi ligi ya kenya ina wachezaji wazuri derby yao haikuwahi kua na mvuto kushinda kariakoo derby, mechi ya Simba na yanga kwa afrika mashariki haitawahi kupata mpinzani kwa namna yoyote ile
Hii nchi tatizo ina raia wa hizo nchi na wamepewa uhuru wa raia wa kawaida.
Sasa unaposema inferiority complex kwa sababu unatoa maoni ya hisia tu hayana ukweli.
Hii ni tabia ya watu wasio na elimu
Mashemeji derbyMunazungumzia nini wakuu
Labda iumbwe Kenya nyingine.Uwanja umeongea Leo ni suala la mda wakianza kusajili ma pro tayari wataanza kutoa changamoto kwa Simba na Yanga
Azam ingekuwa ya mkenya sawa, wakishagundua kuwa mtz atafaidika kamwe hawatathubutu kusapotiAzam akiwekeza kama alivyofanya hapa bongolala ligi ya Kenya itatupita in 10yrs time.
Kenyans are monsters when it comes to opportunity.
Wewe umeangalia angle ipi au umekurupuka tu? Waamuzi, pitch, ushindani, hakuna vurugu nk. Mpira ni zaidi ya uwekezaji wa wachezaji.Yaani Tanzania ijifunze kwenye derby za mashemeji? You can't be serious! Msuli wa timu za Tanzania ni mkubwa mno kuanzia uwekezaji wa fedha na quality ya players.
Acheni kusifu ujinga, level za hizo Gor mahia na FC leopard ni za akina pamba Jiji, Dodoma Jiji na akina coastal union ila siyo Simba, Yanga, Azam.
Hatuwezi kujifunza hapo we are far ahead of them.