Hii mbungi ya Monaban na Mojaa kuhusu shamba imenichekesha sana

Hii mbungi ya Monaban na Mojaa kuhusu shamba imenichekesha sana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Watu wa Arusha tunawatambua hawa watu wawili kwa CV zao za mambo meusi. Wote wanalalamikiwa na wengi kama watu wasio na mienendo inayofaa. Monaban katajwa mara nyingi kwenye migogoro ya viwanja. Anatuhumiwa kudhulumu. Huku Mojaa naye akitajwa kama jambazi mstaafu.

Sasa hapa kesi iliyopo ni kuwa Monaban alishindwa kurudisha mkopo benki shamba lake likauzwa. Akaenda mahakamani na kushindwa kesi. Hiyo Mojaa kama dalali wa mahakama akapewa jukumu la kumwondoa Monaban.

Kinachonishangaza kwa sasa Monaban ni Askofu wa kanisa huku Mojaa akiwa dalali wa mahakama. Sasa hapa wahuni wamekutana kwenye kesi. Wote wawili ni manyamera.


View: https://www.instagram.com/reel/DZolaloKaBb/?igsh=amxhY3Y4cGJtdHVw
 
alipata kupinga mahakamani na mahakama ikasema anahoja za msingi ,ila alienunua aendelee kuendeleza ,kama kuna madai yatafunguliwa na bank,kuna mdau kaelezea ,pia mkopo alidhamini sio kwamba alikopa yeye.
 
Back
Top Bottom