Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

Financial discipline ni ugonjwa wa dunia
 
Nilijikuta ninanunua bajaji baada ya kuambiwa kwamba ya mkopo kianzio ni milioni 1 halafu rejesho ni elfu 22 kwa siku.

Nilichokifanya niliongeza laki 5 na kupata milioni 1.5 nikanunua bajaji used na kuirekebisha kwa laki 5.

Kijana kama unaweza kuwa na laki 7 au milioni ya kianzio cha mkopo wa bajaji basi unaweza ukajiongeza ukanunua bajaji used.

Namba B ni 1.3-2.3m

Namba C ni 2.5-3.5m

Namba D 4-5.5m
 
Hii nzuri
 
Mkuu mm nilifika ofisini kwao hicho nilichoandika kwenye bandiko sijaongeza chumvi ni kile nilichoanbiwa na mtoa huduma na nilikuta jamaa wanalipa huku wakidai hiyo hesabu inawezekana kwa siku
Sina lengo la kuwaharuibia biashara hawa jamaa
 
Mkuu ilikua mwaka gani kianzio cha 1 milion na marejesho ya 22k na vp hiyo bajaji haisumbui?
 
Wanajua miaka 2 ikifululiza roads haina matengenezo makubwa labda upate ajali. Na baada ya miaka 2 kwisha hiyo Bajaj inapoteza nguvu yake Magonjwa ya Engine yanaweza kuanza kutokea.
Bado dereva analiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…