Kiswaswadu kinauzwa hadi 20K, kutaka smartphone ya mkopo ni kukosa akili. Usilete methali.Usitukane mambo kabla hujavuka mto
Vip mkuu ushawahi kuujaribu moto? Maana nilitaka niingie kichwakichwa tena kwa kununua used.Biashara ya bajaji ni nzuri kwa kusimuliwa tu 🤣 ingia mchezoni uone balaa lake
Ukiwa na shida hakuna cha financial discipline bali unakua mtumwa tuFinancial discipline ni ugonjwa wa dunia
kwa laki ni uongo elfu 40 au 50 inawezekana tena kwa mbinde wako wengi sanaSio mm ni hao maafisa usafirishaji na siwezi kumbishia mtu maana sipo kwenye hiyo sector
Sio wenye duka la kumla watu wengi sana kuipata hiyo elfu 28,000 kama faida ni wachache sanaHiki kiasi hata wenye maduka ya jumla ya bidhaa za nyumbani hawaipati.
Alafu unasikia machawa wanasema mama anaupigwa mwingi mitano tenaKwanza nani anaruhusu usafiri wa bajaji kuwa umma...kwenye mji kama Dar
Yaani tuliondoa vipanya sasa mji umerudi kwenye vibajaji...
Serikali ni wazembe...tengenezeni ajira, fungueni viwanda nk...siku hiz hata kiwanda cha sunflower and sundrop yamepotea viwanda vimefungwa...vijana wote wanakuwa boda na bajaji
Hii nchi tumelaaniwa
Imagine huna mchongo mke anakuchachafya mjengoni 🤣Ukiwa na shida hakuna cha financial discipline bali unakua mtumwa tu
Milioni 21 na ushee hapo ndani ya miaka miwili kwa biashara ya bajaji hutu
Sina jibu la moja kwa moja kwasababu.Ok ila rejesho la 28k wanaliweza.
Hii hata maboss wa mtaani wanafanya sema kulalamika ndio jadi yetu sisi watanzaniaHata kama wanatengeneza wenyewe hiyo hela ni kubwa sana hapo unaingia kwenye kitanzi cha wazi wazi. Kwanza huo ni zaidi ya wizi na unyanyasaji wa kiuchumi
Vitu vingine vikibaki vilevile Utunzaji wa chombo ndio utaamua kitaishi mda gani, kuna bajaj namba B zinapiga show...Mkuu achana nao usiwasanue sana, Mtu m bishi muacha hvo hvo, si ipendi riba hata chembe, maana yake hyo bajaji within 2 years iyo bajaji isha choka na kuchoka, itabidi uanze ku weka sawa, it's too bitter, maana hiyo bajaji lazima iende mwendo wa ngiri,
Hutajua bila kujaribu sisi waswahili tunajua kutafuta kazi tu sio kujaribu vitu vya kujiajiri wenyeweAisee nilikua na wazo hili, ila dah!
Nilikua na wazo hili ila duuuh! Aisee! Ni hatari si thubutu! Nakumbuka niliingia mkopo wa sola kipindi fulani kwa elfu 3 kwa siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa miaka miwili, sitokaa ni sahau
1.Hesabu hawarudishi kwa siku ni kwa wiki ambayo ni 194,000..Eeh wadanganye hivyo hivyo,Bajaj yenyewe ni RE hiyo mpaka anamaliza huu utumwa haitakaa miaka miwili haijafa
Nikuulize,dereva akipitisha siku mbili hajaleta hesabu huwa anachukuliwa hatua gani?faida ya kwanza ya boss wa mtaani anasomesheka kwamba hesabu leo amepelekea mwanae mgonjwa hospital sasa kwenye kampuni athubutu kufanya hivyo aone.
InahesabiwaYaani u mean hii 28k kwa siku kwa miaka 2 haihusishi ile kianzio ya 700k?
Umeambiwa ikiharibika wanatengeneza kampuni.Dhamana si ni hiyo hiyo bajaji? Ukute anafurahia Engine na Gearbox mpya, anachukua anaendesha kidogo, anahamisha vifaa kwenye bajaji yake chakavu anaanza kususa sua marejesho, ananyang'anywa.
Biashara yoyote ukisimuliwa ni rahisi ila we ingia uwanjani ,kama hujaongea peke yako😁.Biashara ya bajaji ni nzuri kwa kusimuliwa tu 🤣 ingia mchezoni uone balaa lake
Utashangaa na roho yako, giza limeingia una elfu 30 wakati uliskia watu wanalaza 80Biashara yoyote ukisimuliwa ni rahisi ila we ingia uwanjani ,kama hujaongea peke yako😁.
Hakuna biashara ambayo sio ngumu wewe kama unaingia jitose tu😁Vip mkuu ushawahi kuujaribu moto? Maana nilitaka niingie kichwakichwa tena kwa kununua used.
😁😁😁Utashangaa na roho yako, giza limeingia una elfu 30 wakati uliskia watu wanalaza 80