Raisi huyu kafanya nn usiwe fala?Tatizo la Waislamu ni ulalamishi tu.
Rais akiwa Mwislamu, waislamu wengi huwa wanachukua upande bila kujali anafanya vizuri au la. Rais akiwa Mkristo wanabaki kulalamika tu bila hoja ya msingi na kusingizia Mfumo Kiristo. Leo wameusahau huo mfumo. Wataukumbuka tena Rais mkristo akiingia madarani.
Nimejaribu kusoma andiko lako mpaka mwisho lakini sijajua point au lengo lako lilikuwa ni nini, najaribu kutafakari.BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
Raisi huyu kafanya nn usiwe fala?
HAKUNA mikwaruzano kati ya Serikali ya Tanzania na Kanisa Katoliki. HAKUNA! Na ikitokea, kila mmoja anajua nani atakayeumia na kupoteza!BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
Principles za nyoko!? una ushahidi au chawa wa siasa?Wewe ndiye fala. Wapi nimemsema Rais. Tatizo ni nyinyi wachache mnaofata watu badala ya principles.
Principles za nyoko!? una ushahidi au chawa wa siasa?
Raisi gani ambaye hakuwahi kulaumiwa au bado mtoto wewe? Tafuta maisha yako .Pumbavu PAKA WA LUMUMBA.
..Ccm ndio inaendekeza udini.
..Raisi akiwa Mkristo anakuwa karibu na dini yake halafu Waislamu wanashutumiwa kuwa ni wadini.
..Raisi akiwa Muislamu anaungana na wa dini yake na Wakristo wanashutumiwa kwa udini.
..Bila kuwaondosha Ccm hii nchi inaweza kuparaganyika.
Tumefikaje hapa?BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
Raisi gani ambaye hakuwahi kulaumiwa au bado mtoto wewe? Tafuta maisha yako .
Wacha nchi ipasuke tuanze upya,tuchapane kwa sababu yoyote ile, najua kikinuka makenge ya ccm yatakimbia, harafu tutanza upya, Kagame aliwezaBOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
Sidhani kama kuna mgongano kati ya Ukristo (hasa Ukatoliki) na Uislamu; labda kama ni viongozi wa serikali wanaojaribu kuibua hali hiyo, ambao kwa hakika watawajibika kwa hilo. Ninachoona ni kwamba mgongano uliopo ni kati ya Serikali (hasa Serikali ya Awamu ya Sita, ambayo muda wake wa kikatiba utaisha baada ya miaka mitano) na wananchi. Ikumbukwe pia kwamba serikali hiyo imeundwa na watu wa dini zote, ikiwemo Ukatoliki. Swali la kujiuliza ni: Nani anapoteza zaidi, kuendelea kuwa mwaminifu kwa serikali yenye muda maalum wa uhai wake, au kuwa mwaminifu kwa taasisi ya imani iliyokulea tangu utotoni hadi uzee na hata kufa?BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.
TUJADILI KISAYANSI!
Acheni upumbavu.BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!

Walivyokuwa wanamsema Magufuli mkatoliki mwenzao ulikuwa hujazaliwa nini?Ninachojua binafsi!
TEC kama TEC ilikua na maslahi makubwa sana na Bandari coz mizigo ya kanisa ilipita bila Kodi pale bandarini!
Sasa baada ya DP world kuingia mzigoni bila kujali tunanyonywa au hatunyonywi nankampuni hiyo!Mizigo yote lazima ilipe kodi !ndio chanzo Cha makelele yote!japo kelele Zina ukweli kwamba tunanyonywa lakini kwao dp world ni kipigo!!
Naandika haya coz najua watz tumenyonywa kwa muda mrefu sana kimaisha nankodi lakini TEC walikua kimya TU!mzigo was maisha ya mtz wa chini haijawahi kuwa agenda yao tangu mwanzo!
Kwanini Leo bandari makelele yawe mengi!!?
Kafanye research vzuriNinachojua binafsi!