Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

Waislam hatuna shida na yeyote nchi hii,sisi wenyewe tuna shida zetu tuongeze zingine za nini,KIRUSI KIKUBWA NDANI YA NCHI HII NI KANISA KATOLIKI...wao mtaji wao mkubwa dini yao wameigeuza ni biashara badala ya kuwa utumishi
 
Kwani hakuna wakatoliki waliopo ccm


Fullstop, kwishaaaa
 
Unapotosha, Kodi bandari hukusanywa na TRA. Labda sasa useme TRA nayo kapewa DP world leo. TRA bado hypo bandarini

Kuhusu mizigo ya taasisi za dini, bado ipo kwenye msamaha wa Kodi. Labda sheria itungwe leo kuondoa huo msamaha
 
Tujaribunkadri tunavyoweza kuounguza hiyo mikwaruzano kwani kwa sasa chuki kwa waislamu naiona inapanda nami ni mwislamu lakini Tanzania kwanza
 
HAKI HAKI HAKI,
 
Tujaribunkadri tunavyoweza kuounguza hiyo mikwaruzano kwani kwa sasa chuki kwa waislamu naiona inapanda nami ni mwislamu lakini Tanzania kwanza
Kwa kuwe na chuki kwa watu wa dini pale serikali inapokosolewa?

Sijawahi kuona faida yoyote kwa wakristo pale ambapo raisi aliye madarakani ni mkristo
Pia sijawahi kuona faida yoyote kwa waislamu pale ambapo raisi aliye madarakani ni muislamu.

Wanaofaidi ni walio kwenye cycle tu bila kujali dini.
 
Mikwaruzano ya leo ni chimbuko la mifumo mibovu aliyoijenga Magufuri akishirikiana na akina Samiah,Biteko,Job Ndugai,Kailima,Biswalo,Paramagamba Kabudi,Philp Mpango,Polepole,Gwajima,Mwigulu Nchemba na Bashir Ally.Hawa waliingiza UKABILA NA UKANDA Tanzania.Pia walitengeneza MFUMO WA KIBAGUZI WA KISIASA ambapo mpinzani yeyote alipewa kesi za MHAMIAJI HARAMU,KIBARAKA WA MABEBERU,VYETI FEKI,MAFISADI,WAVIVU na WAVUTA BANGI PIA WAUZA MIHADARATI.
 
Sasa Mama Samiah anatembelea mumo humo kwa kunyanyasa WAPINZANI hasa hasa kujikita sana kuineemesha Zanzibar na Waarabu pia kutengeneza himaya ya UISLAM Tanzania.
 
FACT
 
Tulia hivyo hivyo sindani ikuingie vizuri
 
PUMBAVUU.Na hilo ndiyo tatizo kubwa ambalo Wakristo wengi hata mimi mwenyewe hatutaki huo upuuzi.
 
Hii ni kutaka kutuhadaa na uongo. Magufuli alikosea alikua raisi mbovu, anapaswa kuhukumiwa hivyo. Lakini kusema katengeneza mifumo mibovu ambayo inafanya wa sasa wafanye hivyo, huo ni uongo

Wa sasa wanafanya hovyo sababu nao ni viongozi wabovu. Tanzania mfumo upo kwa kila raisi mpya anayeingia madarakani. Ukitaka unachopenda ndio mfumo utafanya, Hakuna mtu anarithi mfumo wa mwingine, ndio maana raisi alihepita hakupatanana singasinga Ila wa sasa anapatana nae.
 
Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 12 na 13(1)(2)na (5).
 
Mkuu, chondechonde usichukue maandiko kwenye Biblia ukayafanyia direct translation kuja kwenye ulimwengu wa mwili. Tuuache ulimwengu wa roho u operate vile unatakiwa na wa mwili nao u operate. Hawa viongozi wetu sio Malaika, Maaskofu nk. Hawa ni BInadamu wanaoongoza binadamu kupitia mambo ya kimwili tu - wamekaa ki kaisari kaisari. Ndiyo maana hata kule Israel na Iran kwenye kitovu cha dini - Matatizo ya kibinadamu ni kibao, vita havikomi, watu wanakufa kila siku sometimes with no tangible cause... Kuna namna tunataka kuupaka matope ulimwengu wa roho kwa kuleta misingi ya kuogozana kimwili....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…