Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

Sasa mnawaogopa ,mwanaume mzima unapiga kelele ambapo hazifiki kwa wahusika ..Mbwa foga!
Ujumbe umeshafika na hamkawii kuomba msamaha kuwa hakuna mwanadamu aliyekamilika sisi ni ndugu moja tusamehe yaliyopita tuanze upya tuijenge nchi yetu pumbavu zenu.
 
Kisayansi zaidi :
Waislamu bakwata : Hawa ndio majority, uwezo kukinukisha hawana Ila watasema saana,dua za mchongo nyingi, juzi mliowaona na kongamano Lao.

Waislamu Answar & Ibadhi : wanajitambua na hawapelekeshwi, hawanunuliki, wakiona Haki wanaifuata mfano, Kishki type.Wana seminar yao inakuja karibuni, mta prove point yangu.

Washia, Ismailliyya: Wakiona fursa ya kujitangaza huitumia, Ila kukinukisha no. Wana biashara zao zitaadhirika, Hawa waondoe.

Salafia : Hawa Siasa zenyewe wamezipa mgongo kama haziwahusu. Wako ktk bubble ya khilafa.Wanakua kwa kasi pia, hivyo Inapunguza potential ya kukinukisha.

Tabligh/Sufi/twarikkas : Hawa wako more spiritually huenda hata LISSU wanamwombea dua.

Sababu umesema Katoliki na si wakristo kwa ujumla wao, Hawana historia ya kukinukisha Ila Wana skemes nyingi kutokana na mtandao wao.
Walokole : Hawa ndio Wana potential japo Hawa kiongozi.
 
Miye siyo mkatoliki,japo penye ukweli lazima tuseme. Tec na KKKT enzi za Magufuli ndio walikosoa wazi wazi na mpaka walitoa nyaraka kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu nyakati hizo. Tec ndo dhehebu lilolitoa waraka wa kuipinga serikali kwa kutuaminisha jamii kutojali sana kuchukua tahadhari kuhusiana na janga la Covid19, Tec waliwaambia waumimini wao na jamii kwa ujumla kuwa ugonjwa upo na watu wasichukulie poa.
Japokuwa Magufuli hakuwahi kujibizana nao, maana wakatoliki hufundishwa kuwaheshimu sana viongozi wao wa kiroho.
Waliojitokeza kujibizana nao sana walikuwa watu wa madhehebu mengine kama kina Makonda. Kwa hiyo Msipotoshe.
 
Kumbe walikemea kuhusu corona wangekemea kuhusu lissu kupigwa risasi
 
Wakati huo huo usisahau Yesu alichokisema

Mathayo 7:21
[21]Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
 
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!
KWAKWELI NI MUDA SASA TUFUMUE KILA KITU NA KUSUKA UPYA BILA KU'REFER'REFER' ZILIPENDWA!
 
Sasa hata mjinga anauona jinsi udini ulivyotawala siasa za nchi hii! KINAENDA KUWAKA 'BIG WAY' NA NDO TUTAAMKA!

Hakuna ugomvi wowote kwa misingi ya kidini Tanzania.

Tatizo letu ni watawala kutotenda haki. Na hao wtawala hawaangalii mtu ni mkristo au muislam, bali yeyote anayeweza kuwakosoa wanapodhulumu, ni adui yao. Hawa wnaodhulumu haki wnaweza kutaka kuzitumia dini kulinda dhuluma zao, lakini watakaoingia kwenye huo mtego ni wajinga wachache sana.
 
Wote mnaabudu masanamu. Waislam na wakatoliki.

Hii ni mada nyingine nitaileza itakapobidi.

Wazungu wanapotaka rasilimali zetu hutumia dini hasa Waislam kuchinja WAKRISTO kama Nigeria, msumbiji nk ili kupora Mali.

Uteuzi wa nafasi za utumishi serikalini kwa misingi ya kidini kila Rais hufanya ila nadhani haileti madhara kwa sababu ni seasonal.

Atateuwa wa imani yake msimu huu, akitoka nao huondoka na hujirudia kwa mwingine pia.

Udini wenye madhara makubwa ni ule wa kutumwa na mabeberu, wakati wanapopora rasilimali zetu wakiwatumia hasa Waislam.
 
Iko hivi, na ilisha semwa na JK Nyerere. Mwanasiasa dhaifu, akiona ameshindwa hoja huingiza udini au ukabila ili kupata support ya watu wa dini yake au kabila lake.
Hii ndio imekuwa mbinu ya wanasiasa dhaifu miaka mingi.
... wanapoanza kushusha mada zao lazima wapenyezepenyeze kujinasibisha na BABA WA MBINGUNI ili 'WAELEWEKE ZAIDI'!
😅
 
C
jipange🚮🚮
 
Mkwaruzano wa wakatoliki na serikali inawahusu nin waislamu ?
Kwani tuna islamic gvt ? Au wanaounda serikali wote ni muslim ? Muslims wanaopata hizo hisia watakuwa ni wapuuzi.
 
Nani alaumiwe kwa uwezo wako mdogo wa kutunza kumbukumbu ?
 
Uzi wakijinga utajadili vipi kisayansi ?!
 
WWe ni mpuuzi unafaa kupuuzwa. Sasa mahakama ya kadhi sijui kizimkazi ina faida gani kwa taifa letu, yaani bila soni unalinganisha huduma za kijamii kama shule na hospital Vs hizo takataka zako
 
Muislim wengi hawapendi kuongozwa na ke kwao i haramu ao unaowanona wanapayuka ni walamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…