Hii mimba itakuwa ya nani?

Hii mimba itakuwa ya nani?

Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Mwanakulifind mwanakuliget! Mwambie atafute kadi mbili za clinic. Moja ya A na nyingine ya B. Apige pesa kotekote mwanawane.
 
Hamna namna Mkuu.

Maana bila hivo demu atakua anatafuta siku Kadhaa ambazo atakaa bila kuliwa kwanza na Mumewe

Sasa Hilo huwez kua nalo uhakika Mkuu, mwingine atataka asubiri asafiri kwanza.

Wewe fanya namna uletewe K hata kama inashahawa ,Vaa ndom ,chimbaa
Mimi nikigundua kaliwa jana yake hamu inakata papo hapo
 
Hapo kama ushaamua kufanya uhuni we fanya tu kila msela muandalie kadi yake unakua na kadi mbili, ukidakwa utachomwa moto
 
Hiyo mimba ni yake kwa asilimia mia.

Kama alitumia p2 atafite usaidizi kwa wote wawili.
Ahudhurie clinic mbili tofauti kila mmoja ampeleke kwake.

Siku ya kujifungua asafiri mkoani akajifungue. Aandikishe cheti cha mkoani na akija Dar aandikw kingine.

Na life liendelee.
Hiyo siku hizi haiwezekani, mjamzito anasajiliwa kwenye mfumo tena kwa namba ya nida.
Hapo awafiche wote akizaa ndo amwambie aliyefanana na mtoto....au aabort mpira urudi kati.
 
Mimi nikigundua kaliwa jana yake hamu inakata papo hapo
Kaka kwenye mambo kama haya jitahidi usijue taarifa zozote ikiwezekana wa kabla yako na baada yako, hawa wadada wanatuchanganya na watu wa ajabu sana
 
Hiyo siku hizi haiwezekani, mjamzito anasajiliwa kwenye mfumo tena kwa namba ya nida.
Hapo awafiche wote akizaa ndo amwambie aliyefanana na mtoto....au aabort mpira urudi kati.
Ko inawezekana p2 ilimsaliti 😁mbona comments zenu nyingine zinachanganya
 
Alafu kuna kichaa anashangaa sisi wazee wa kununua kwa nini tuna amani muda wote.
Kiufupi hapo kuna kijana anawnda kubambikiwa mimba, hatari sana
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Kwa kugawa tu Dada upo vema...sasa kama kati ya hao vijana kuna Msukuma...basi Amsakizie iyo Mimba msukuma alee.
 
Kaka kwenye mambo kama haya jitahidi usijue taarifa zozote ikiwezekana wa kabla yako na baada yako, hawa wadada wanatuchanganya na watu wa ajabu sana
Bahati mbaya akiliwa kabla yako utajua hasa kama ulishawahi mpitia
 
Back
Top Bottom