Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

This is from within, asante sana!
 
Ndo hivyo wenye akili kama wew ndo wauweza kuona .kwa kweli watu wa longo longo kama January sijawahi kuwakubali jpm hakupenda hizo theory za kulinganisha miradi iliyokwama huko ulaya na huu wa kwetu ndio maana mambo ya yaliweza kwenda kwa speed yake
 
January keshawachefua watu Sana. Hakika amezidi kulikwaza taifa.
Mtampiga vita lakini January ni choice ya wengi. Tunajua kwanini mna mshambulia. Ni kwa sababu wengi mnajua Makamba yuko wazi. Hapendi mnayo fanya kwa manufaa yenu na familia zenu.
 
Mwalimu Nyerere alifariki baada ya miaka 15 ya

kusataafu......

Mkapa amefariki baada ya miaka 15 ya

kustaafu.....
Paradox ..what do you want to tell us , kwamba kifo ni arithmetic progress au geometric progration
 
Unaweza kutowekea ushahidi wa hizo porojo zako hapo
 
Kila crane na kazi yake mkuu, si kila crane inaweza kufanya kazi katika mazingira tofauti tofauti,
una maana "above the sea level" na below the sea level"? Makamba hana uelewa wa haya makitu...LOL!
 
Nani atakayewagundua na kuwapa madaraka hao “watu wenye weledi na wazalendo wa kweli”? Hilo ni changamoto la nchi zote duniani. Watu wanaofaa hawaonekani kwa kutazamwa.

Halafu Watanzania wote hawana mindset moja unayoweza kuibadilisha. Kuna kila aina ya mindset iliyopo duniani nchini.

Tatizo ni kukosekana kwa mfumo wa “checks and balances” inayowezekana mnapokuwa na uhuru wa mihimili ya utawala. Kama Rais (executive) anakuwa na mamlaka juu ya mihimili yote halafu anakuwa juu ya katiba na sheria, usitarajie kuwe na uwajibikaji, ufanisi wala maadili katika shughuli za umma. Kigezo kikubwa cha utumishi kinakuwa utii na unyenyekevu kwa bosi badala ya utendaji kwa weledi na kufuata sheria.

Katika mazingira hayo, kitakachoshamiri katika ngazi zote ni ajira za kujuana (nepotism), kujikomba (sycophancy), kila aina ya rushwa na wizi (corruption, graft, kleptocracy), hujuma (sabotage), n.k. Na nchi itaishia kuendeshwa zaidi kwa propaganda kuliko uhalisia. Ndipo tulipo leo.
 
Mbolea tunanunua laki moja sijaona thread kila siku Januaru January wizara hio imewauma sana
 
Mkuuu umeandika sana leo
 
Tangible results killings, tortures and forced disappearances
Not to that extent and there is no evidence he was the one behind, ni maneno maneno tu ya kibongo, wabongo maneno na uongo mob
 
January keshawachefua watu Sana. Hakika amezidi kulikwaza taifa.
Mkuu kachafua nni kisa kusema hakuna winchi ya kubebe tani 26? Tulia mkuu kijana yuko vzr anajua anachofanya au kisa mgao? Haha JANU KIGA KAZI ACHANA NA CHADEMA
 
Tatizo la ******** hakutaka kufuata ramani kwenye ujenzi wake
 
Mtampiga vita lakini January ni choice ya wengi. Tunajua kwanini mna mshambulia. Ni kwa sababu wengi mnajua Makamba yuko wazi. Hapendi mnayo fanya kwa manufaa yenu na familia zenu.
Daaaaah jf tuna watu wajinga sana,sema Makamba ni choice yako na sio kusema ni choice ya wengi😅😅.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…