Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Kwani ni kipi kiliwafanya hao mababu zetu wapende sura? Au tabia? Utagundua kila mtu au kila zama na kitu wakipendacho binafsi Napenda sana t*ko lenye hips au limegawanyika vizuri yaani nimewaza tu hivi najikuta nimeenda mbao
Hahahahha hii kitu ipo damuni kabisa
 
Nahisi ni africa tu, maana muda huu huu naongea na shoga yangu kuwa katafutiwa mzungu, kamkataa eti ana tako kubwa.hadi nimeshangaa.

Ndo hivyo mzungu anataka kimiss.
 
Sure,

Every generation has its own burden
 
Picha ya kusindikizia uzi tafadhari.
 
Kadri miaka inavyoenda ugunduzi wa vitu unaendelea,nadhani wale watu waliokua wanasema huyu mzuri kuna kigezo walikisahau na sasa kimepatikana.

Uzuri wa sura bila kalio unakubalika ila uzuri wa sura na wenye kalio unakubalika zaidi,zamani tulikua tunakula michemsho tu na tuliona fresh lakini leo hii humlishi mtu mboga chuku chuku bila viungo shata shata.

Miaka inavyoenda kuna ugunduzi wa maeneo mengi yalifichwa na sasa vinaenda kugundulika,kwani zamani kulikuaga na story za six pack?

lakini saivi watu wanakesha gym kuzisaka 8 packs,tukubaliane na teknolojia maana inatusaidia kuvumbua vilivyojificha.

Mimi nishajua 20yrs to come wadada wataringia nini,we subiria
 
Umepotosha. Hata miaka ya nyuma wanaume bado walikuwa wanavutiwa na wanawake wenye makalio makubwa. Unajua asili ya neno ''wowowo'' na limeanza kutumika lini? Unajua nguo walizokuwa wanavaa wanawake miaka ya 70 zinaitwa ''tight'' na kupigwa marufuku?
 
Mkalio makubwa kupendwa ni tangu zamani. Kusema ni jambo la sasa hivi ni kuposha. Zamani kulikuwa na sketi fupi za kubana zikiitywa ''tight''. Asili yake ni kutaka makalio yaonekane. Baadae makalio yakaitwa wowowo. Kulikuwa na mpaka li-sanamu (puppet) linaitwa Joice wowowo (kwa sababu lilitengezwa likiwa na makalio makubwa ) jamaa mmoja alikuwa analichezesha sehemu nyingi za Dar na kulipwa.
 
Huyo mwenye nyama nyingi makalioni ndio atakuwa praised sana, kuliko mwenye nyama kidogo makalioni

So je, mababu zetu pia walichanganyikiwa kama sisi tunavyochanganyikiwa pale tulivyomuona huyo big butt na kumchukulia poa normal butt?

.
 
Kweli bro,

So kwa upande wako, ulijikuta tu automatically unapendelea big butts au kwa namna gani ilikufanya uone tako nene ndio your thing?
Baada ya kulizagamua big butts siku moja nikaanza kuyaelewa.

Na ukitaka ulielewe tako hakikisha mnapiga chuma mboga style halafu upate mwenye tako laini anayejua kulitikisa au kumwaga uno.

Wewe kazi yako ni kukamatia kiuno huku ukimpelekea moto vile jinsi anazungusha kiuno na kuyatikisa matako huku wewe unampelekea ukuni ndivyo raha inazidi, halafu uwe unalipiga piga kofi tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…