Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Nakumbuka early to mid 1960s wasichana walikuwa wanavaa kitu kinaitwa 'skuta' (walivyokuwa wanatamka) hii ilikuwa ni underskirt iliyokuwa na kitu kama sponchi .Nina uhakika kazi yake ilikuwa kuboresha muonekano wa hiyo sehemu tajwa.
 
Kwa afrika wowowo ni obsession ya muda sana.....hivyo vitabu vya dini havikuandikwa kwenye mazingira ya afrika sasa hao wafalme watafikiriaje wezere wakati huko sio kwao, mawezere ni kwa mtu mweusi, wana wa israeli walipigwa pasi jangwani
 
Kwa sasa ni worldwide pengine isipokuwa huko Asia (Wajapan, Wakorea na Wachina). Maslei kwini wengi wa kimataifa wanapoteza mpaka maisha kwenye operesheni za kuongezewa makalio ili wapendwe na kupandisha dau.

Kwa sasa makalio ndiyo yanaendesha dunia bro!
 
Legendary πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…