Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Ndio tumeamua sasa,
Tunawadhibu hao wajinga kwa kutusaliti tulowatetea sana ,saivi wanafanya uchawi.
 
Sasa si ukapige kura? Kwani Kuna mtu kakuzuia keh?

Wameshauriwa wapigiwe kura na UVCCM au na Magufuli, Sasa hapo Shida iko wapi?
 
Hao ni watu wa timu fulani tu wametumia siasa kama kivuli cha chuki zao binafsi. Hao walikuwa hawampigii kura Diamond Platnumz tokea zamani kwahiyo hata mwaka huu wasipopiga wao haipunguzi kitu maana toka zamani hawana mchango wowote na Diamond alikuwa anashinda tuzo.

Ninachowashauri wawapigie kura hata Wamarekani ila tu wakumbuke kama hawakuwahi kumpigia kura je, kuna tofauti gani na mwaka huu wakiacha? 🀣
 
Afrimma 2020 Nominees
 
sasa public figure gani Hana chama?
 
sasa public figure gani Hana chama?
Kuwa na chama hakuna anekatazwa lakini pale ambapo unategemea ulaji wako kutoka kwa fans ambao ni wananchi basi inabidi ujiweke neutral ili usiwagawe fans wako, kama ni ushabiki wa siasa kaufanye kwenye boksi la kura

On the other hand ndio maana wachungaji na viongozi wa dini wenye akili na hata wafanyabiashara wenye akili huwa hawajihusishi na siasa ili kuepuka kugawa wateja, waumini nk

Sio kwamba hawana vyama, ila wanaepuka kuharibu biashara zao kwa sababu ya siasa
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weka link tuwapigie nigerians kura, wa bongo watabebwa na tume
 
Miaka mingi iliyopita nilitia neno ila mashabiki lia lia wa domo walinijia juu eti wao wanapenda muziki wake tu mengine hayawahusu. Leo nimewaona wamekua wa kwanza kutoa povu daah uchaguzi wa mwaka huu joto sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Numbisa usiishie kucheka tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tia neno lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…