Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Mmenigusa sana hakuna mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge la awamu zikizopita hasa awamu ya nne lilikuwa na manufaa saba kwa matz. Ila hili ka sasa ni kama vile futuhi tu.Mimi kusema kweli sionagi umuhimu wa wabunge.
My point of view.
Muingereza Marcus Rashford anaechezea mpira Manchester United ana mshahara mkubwa kuliko waziri mkuu wa uingereza Borison Johnson.
Siku tukilinganisha mambo mengine na nchi zingine usikimbie
Mkuu.Kwahiyo bila bunge kwahiyo bunge likifutwa zitakuwa zinapitishwa na nani ?
Kwani wewe umeuliza niniSasa footballer wa Ligi ya Ulaya ni mtu wa kawaida?
Mambo ni yale yale tu.Bunge la awamu zikizopita hasa awamu ya nne lilikuwa na manufaa saba kwa matz. Ila hili ka sasa ni kama vile futuhi tu.
Mbunge wako toka aingie bungeni katunga sheria gani?Sheria utatunga wewe ?
Kwani wewe umeuliza nini
Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi.
Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini.
Si kweli, no uongo na ni propaganda za kisiasa tu kwa ajili ya wapambe na wanafiki wachache wanaomzunguka huku uhalisia wa mambo ukiwa tofauti.
Mfano wa kuthibitisha hili ni huu;
Bunge limevunjwa juzi tarehe 16/6/2020. Hawa wabunge lililovunjwa juzi wameingia kazini mwaka 2015. Wamefanya kazi yao miaka mitano (5) tu toka mwaka 2015 hadi mwaka huu 2020.
Inasemekana mafao ya kiinua mgongo kwa miaka mitano tu kila mmoja ni zaidi ya Tshs. 250,000,000.
Na inasemekana wakati Rais Magufuli (eti Rais wa wanyonge) anahutubia ndani hiyo juzi kulivunja bunge hilo, tayari mzigo wa fedha wa kila mbunge ulishaingia kwenye Bank Account yake.
Hebu tazama upande wa pili wa wanyonge halisi kinachotokea.
Huko Sengerema (na naamini kwingine kote Tanzania nzima), yupo mwalimu aliyefanya kazi miaka 32 (1988 - 2020) kwa taabu na shida nyingi. Amestaafu tangu mwezi Januari, 2020. Baada ya kukokotolewa kwa mafao yake ya mkupuo atapata kama Tshs. 75,000,0000 hivi.
Kinacholeta shida ni kuwa, tangu huyu mwalimu masikini astaafu kwa mujibu wa sheria mwezi january hadi Juni hii mwaka huu, 2020 (miezi 6 sasa) bado anasotea mafao yake haya kidogo, hajalipwa.
Sasa swali la kujiuliza ni hili;
Kati ya wabunge hawa ambao bunge linavunjwa leo huku mafao yao yakiwa yaneshalipwa jana na huyu mwalimu ambaye kastaafu miezi sita (6) iliyopita na bado hajalipwa vijisenti vyake vya mafao, ni nani hasa mnyonge?
Na huu usawa katika nchi hii uko wapi? Iweje mbunge aliyefanya kazi miaka mitano tu alipwe mafao ya kiinua mgongo kikubwa hivyo kwa takribani mara tano ya mwalimu ama nesi ama daktari aliyefanya kazi kwa miaka 35?
Huyu mtetezi wa wanyonge (Bwana Magufuli) anatetea wanyonge na unyonge upi hasa?
Mimi nasema Tanzania haina kiongozi Rais mtetezi wa wanyonge. Haijapata na hakuna kizuri wala kiongozi mzuri atakayetokana na CCM ili kubadilisha hali hii na kuleta tofauti na usawa.
NDIOMAANA SIPOTEZI MUDA KUWAPIGIA KURA CCMHii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi.

Kwa taarifa yenu zile hela anazogawa barabarani na kwenye makanisa ya katoliki ni michango ya wastaafu kutoka psssf. Mfuko upo hoi.
Nitajie nchi iliyo na usawa kati ya Wanasiasa na watu wa kawaida, ...
Nina dada yangu Mwalimu amestaafu toka mwezi wa sita mwaka 2018. Mpaka leo anafuatilia mafao yake na hajalipwa. Mbaya zaidi kwa sasa anaumwa na hana msaada wowote wa kifedha.
Hapo ndipo ninapowaona wale wafanyakazi wanaoiba na kuchukua rushwa wakiwa kazini ni mashujaa. Kwa nchi hii hali ilipofikia kufanya kazi kwa uaminifu kwa kutegemea utakuja kulipwa mafao ni ujinga wa hali ya juu!!!
Usiniulize swali badala yake lieleze jukwaa kwanini unadhani kusiwe na usawa kati yao?
Sera na ilani ya CCM toka mwaka 1961 mpaka 2020 inasemaje kuhusu hili...?
Au vp bwanaYani hakuna usawa kabisa.shithole Tanzania