Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Wakuu wao wamewaingiza kwenye mfumo hawana la kufanyaHapo vip!
Unajua hii dunia haishi viroja
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.
Eti wanasema hii haijakaa vizuri na kwenye lile andiko lake anaomba raia watoke tar 9 maana yake wanataka raia wawatetee
Mimi nawashauri wanajeshi mtulie kimya bora mambo yenu mfiche wala msituambie maana sana sana mtadhalilika zaidi na kuendelea kukumbushia wananchi mambo ya tar.29
Mshahara mara mbili? Hakuna kitu kama hikoMwezi October wameingiziwa mshahara mara mbili mbona hawakutoka kusema watetewe kuhusu hilo.
Wakafanya shopping za maana kwa familia zao halafu wakatoka kuwasapoti polisi wakimwaga damu za watanzania zisizo na hatia
Siku wanyamulenge wakiingia wanajeshi wakibongo watatupa kombati na kukimbiaHao ni mbogamboga waliochangamka hamna jeshi hapo