Hii nchi ina majeshi mangapi? Jeshi la Shehe Mwaipopo lipo kwa mujibu wa Katiba ipi?

CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Wanyakyusa ndio wamekuwa Mabwege watu walioheshikika kwa haki na Misimao.
1. Jaji Mwambegele.
2. Tulia Akson.
3. Crement Mwandambo.
4. Mwakitinya.
5. Msemaji wa jeshi wa Leo

NB Mwashambwa ni Mtu wa Mbeya lakini mnyia.
 
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba

JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game

Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi

Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na anaconfidence ya kuita waandishi wa habari kutambulisha?

Niliwai kufany a KAZI kambi X ya wakimbizi kutoka Burundi Hawa watu walikua wanasimulia nchi I kwao kulikua na vikundi vya watu binafsi ambavyo viko kama jeshi na ndivyo vilifanya wakimbie nchi

Hivi mbona taifa langu linapotea aisee shida Nini?

Serikali Tunaomba muingilie kati aisee
Wastaafu mko wapi?
View attachment 3622546
View attachment 3622547
ccm wanatupeleka pabaya
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
nonsense hot air 🐒
 
Sheria inasema,
Tanzania kutakua na majeshi ya ulinzi na usalama ambayo yatawajibika na masuala yote ya ulinzi na usalama wa watu na makazi yao, ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, lakini pia kwa nguvu na gharama yoyote ile kulinda umoja, amani na utulivu wa wananchi wote wa Tanzania, dhidi ya chokochoko na fyokofyoko nonsense za vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mamluki wao, wanaojaribu kuhatarisha usalama wa waTanzania 🐒
 
Lakini pia kwa nguvu na gharama yoyote ili kulinda umoja aman na utulivu wa wananchi wote wa Tanzania dhidi ya MAFISADI, WATEKAJI, WAUWAJI, wapindisha sheria, WEZI WA MALI ZA WATANGANYIKA, WEZI WA UCHAGUZI, wanaotumia mihimili ya nchi kwa kuwakandamiza wasio na hatia, ili kulinda maslahi yao wenyewe.
Vipi hawa watu hamuawataki ?
 
hiyo sasa ni mipasho ambayo haina athari zozote gentleman 🐒
 
Hakuna cha mipasho kwahyo watu wengne wakijitokeza kama hao kundi la masheikh na kuongea azima yao ya kuteketeza MAFISADI, WAUWAJI, WEZI WA MALI ZA UMMA? Itakuwa ni mbaya?
 
hizo ni porojo tu gentleman 🐒
 
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba

JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game

Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi

Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na anaconfidence ya kuita waandishi wa habari kutambulisha?

Niliwai kufany a KAZI kambi X ya wakimbizi kutoka Burundi Hawa watu walikua wanasimulia nchi I kwao kulikua na vikundi vya watu binafsi ambavyo viko kama jeshi na ndivyo vilifanya wakimbie nchi

Hivi mbona taifa langu linapotea aisee shida Nini?

Serikali Tunaomba muingilie kati aisee
Wastaafu mko wapi?
View attachment 3622546
View attachment 3622547
Kalipwa hela nyingi sana mil 800, Mla kiti moto analipwa kuliko mashehe wa Bakwata!
 
Back
Top Bottom