Utamfikia ?? Umeona kikosi chake,ila duuuh, sijui ipo hivyo dunia yoyote, anainuka mtu tu anatangaza geshi ra kuwararua wanaoreta bhujo mura.Tushasema ila mwaipopo siku tukimmaliza sisi wananchi wasije polisi kushupaza shingo

Hilo ni swali la msingi kakuuliza, Mfano mtu kaja na jeshi lake la kupambana na mafisadi, wala rushwa n.k ni sawa?hizo ni porojo tu gentleman 🐒
Lipo jeshi la wokovu tangu miaka mingi sana gentleman,Shekhe ameunda jeshi lake tayari. Vipi na wakristo wakitengeneza jeshi lao pia? Jeshi hili la huyu shekhe linalipwa na nani? Dini haipaswi kuingilia siasa
kwani makamanda wa chadema ndani na nje ya jf, ni wanajeshi wa kupambana na nini gentleman, ukiachilia mbali mihemko na kuporomosha matusi?🐒Hilo ni swali la msingi kakuuliza, Mfano mtu kaja na jeshi lake la kupambana na mafisadi, wala rushwa n.k ni sawa?
Hayo majeshi yalikuwa yanapinga nini kijana?Lipo jeshi la wokovu tangu miaka mingi sana gentleman,
Gwajiboy pia ni mkuu wa majeshi ya kanisa lake mbona ,
hata chadema imejaza makamanda nchi nzima na hata humu jukwaani wamejaa tele na wanatukana hao, si mchezo 🐒
unaniuliza mimi tena gentleman 🤣Hayo majeshi yalikuwa yanapinga nini kijana?
Ndio nakuulizaunaniuliza mimi tena gentleman 🤣
Kwani Yana wahusu nini jamaniNinavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na anaconfidence ya kuita waandishi wa habari kutambulisha?
Niliwai kufany a KAZI kambi X ya wakimbizi kutoka Burundi Hawa watu walikua wanasimulia nchi I kwao kulikua na vikundi vya watu binafsi ambavyo viko kama jeshi na ndivyo vilifanya wakimbie nchi
Hivi mbona taifa langu linapotea aisee shida Nini?
Serikali Tunaomba muingilie kati aisee
Wastaafu mko wapi?
View attachment 3622546
View attachment 3622547
🤣🤣Hii ndiyo CCM sasa.....
Matusi ni kinyume cha sheria za nchi yetu. Anayetukana anavunja sheria.kwani makamanda wa chadema ndani na nje ya jf, ni wanajeshi wa kupambana na nini gentleman, ukiachilia mbali mihemko na kuporomosha matusi?🐒
Hatutaki vilazaa!
Kwani anatembea nacho kama raisi.Hipo siku hata msikitini watammalizia huko hukoUtamfikia ?? Umeona kikosi chake,ila duuuh, sijui ipo hivyo dunia yoyote, anainuka mtu tu anatangaza geshi ra kuwararua wanaoreta bhujo mura.
Nawaza kuwa limepewa uhalali na chama dola ndiyo maana wapo kimya,ama wanaandaa kanuni ili kwa katiba yao wahalalishe mbwa mwitu wa mwaipopo! Ni mawazo yangu tu.Sijui mitazamo ya wengine?Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na anaconfidence ya kuita waandishi wa habari kutambulisha?
Niliwai kufany a KAZI kambi X ya wakimbizi kutoka Burundi Hawa watu walikua wanasimulia nchi I kwao kulikua na vikundi vya watu binafsi ambavyo viko kama jeshi na ndivyo vilifanya wakimbie nchi
Hivi mbona taifa langu linapotea aisee shida Nini?
Serikali Tunaomba muingilie kati aisee
Wastaafu mko wapi?
View attachment 3622546
View attachment 3622547
Wapo zimamoto,sungusungu,greenguards na askari fiche mkuu.Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na anaconfidence ya kuita waandishi wa habari kutambulisha?
Niliwai kufany a KAZI kambi X ya wakimbizi kutoka Burundi Hawa watu walikua wanasimulia nchi I kwao kulikua na vikundi vya watu binafsi ambavyo viko kama jeshi na ndivyo vilifanya wakimbie nchi
Hivi mbona taifa langu linapotea aisee shida Nini?
Serikali Tunaomba muingilie kati aisee
Wastaafu mko wapi?
View attachment 3622546
View attachment 3622547
Wapo kimya ina maana wapo sambamba naye.Shekhe?
Mashekh wanasemaje hishma yao kugaragazwa namna hii? Au wametoa baraka juu yake huyu Mwaipopo