Hii nchi ina majeshi mangapi? Jeshi la Shehe Mwaipopo lipo kwa mujibu wa Katiba ipi?

Tushasema ila mwaipopo siku tukimmaliza sisi wananchi wasije polisi kushupaza shingo
Utamfikia ?? Umeona kikosi chake,ila duuuh, sijui ipo hivyo dunia yoyote, anainuka mtu tu anatangaza geshi ra kuwararua wanaoreta bhujo mura.
 
Shekhe ameunda jeshi lake tayari. Vipi na wakristo wakitengeneza jeshi lao pia? Jeshi hili la huyu shekhe linalipwa na nani? Dini haipaswi kuingilia siasa
Lipo jeshi la wokovu tangu miaka mingi sana gentleman,

Gwajiboy pia ni mkuu wa majeshi ya kanisa lake mbona ,

hata chadema imejaza makamanda nchi nzima na hata humu jukwaani wamejaa tele na wanatukana hao, si mchezo 🐒
 
Hilo ni swali la msingi kakuuliza, Mfano mtu kaja na jeshi lake la kupambana na mafisadi, wala rushwa n.k ni sawa?
kwani makamanda wa chadema ndani na nje ya jf, ni wanajeshi wa kupambana na nini gentleman, ukiachilia mbali mihemko na kuporomosha matusi?🐒
 
Reactions: Tsh
Lipo jeshi la wokovu tangu miaka mingi sana gentleman,

Gwajiboy pia ni mkuu wa majeshi ya kanisa lake mbona ,

hata chadema imejaza makamanda nchi nzima na hata humu jukwaani wamejaa tele na wanatukana hao, si mchezo 🐒
Hayo majeshi yalikuwa yanapinga nini kijana?
 
unaniuliza mimi tena gentleman 🤣
Ndio nakuuliza
Yalikuwa yanapinga nini kijana?

Ukumbe hapo sheikh ana deal na raia wenye itikadi za vyama na wasio na vyama

Sasa raia wakinda jeshi na kutoka hadharani kusema wao wana deal na mifumo mibovu, mafisadi ambao walipewa adhabu ya kuzomewa waone aibu, watekaji, uhuru wa vyombo vya habari, mihimili ya nchi, haki na usawa , itakuwa sawa?
 
Kwani Yana wahusu nini jamani
 
kwani makamanda wa chadema ndani na nje ya jf, ni wanajeshi wa kupambana na nini gentleman, ukiachilia mbali mihemko na kuporomosha matusi?🐒
Matusi ni kinyume cha sheria za nchi yetu. Anayetukana anavunja sheria.

Back to haya majeshi yasiyo rasmi, wakaidi wa amri ya polisi wakitoka, pakatokea mauaji, mbwa mwitu hawatabebeshwa hilo zigo kweli? Anyway, akili nywele. MUNGU aepushie mbali yasitokee maafa.
 
Utamfikia ?? Umeona kikosi chake,ila duuuh, sijui ipo hivyo dunia yoyote, anainuka mtu tu anatangaza geshi ra kuwararua wanaoreta bhujo mura.
Kwani anatembea nacho kama raisi.Hipo siku hata msikitini watammalizia huko huko
 
Uthenge mliofanya mwaka jana , hata mimi timu Mwaipopo
 
Nawaza kuwa limepewa uhalali na chama dola ndiyo maana wapo kimya,ama wanaandaa kanuni ili kwa katiba yao wahalalishe mbwa mwitu wa mwaipopo! Ni mawazo yangu tu.Sijui mitazamo ya wengine?
 
Wapo zimamoto,sungusungu,greenguards na askari fiche mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…