Hii nchi inawahitaji kina Paul Makonda wengi

Tanzania inachohitaji kwa sasa sio mtu bali ni KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
Nakuunga mkono kuhusu aina ya kiongozi anayefaa Tanzania. Kweli JPM alitufaa sana.
Ila kwa bashite nakataa noooooooo, big no.
Hatuhitaji mtu huyu.
Bashite anafaa kuwa Rais kwa sababu kibwena,ipo siku nitaziainisha hapa
 
Nyerere ndiye aliyefanya watu wamekuwa wajinga wa kutupwa!,watu jamii ya kina Makonda nchi itasonga na watu watakuwa na Akili timamu!

Miafrika bila kashikashi haiwezi kwenda!
@FaizaFoxy anasema wamekusikia watalifanyia kazi
 
Tanzania inachohitaji kwa sasa sio mtu bali ni KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Katiba Mpya bila kiongozi shupavu,katili,muuwaji,mtesaji na mtoa ngeu hatuwezi kwenda!

Hivyo katiba mpya inamuhitaji rais kama Bashite!
 
Aise wewe jamaa Umeongea point muhimu sana, ni wachache watakaokuelewa!!
 
Kweli kabisa.
 
Sahihi kabisa.

Nchi yetu bado watu wanahitaji kusukumwa kwa nguvu, bila hivyo mambo hayaendi, hata yakienda yanaenda kwa kasi ndogo tofauti na matarajio.
 
Hii nchi Ina watu wa hovyo sana ,Watu wa aina hii ya mleta mada katika nchi za watu wanaopenda demokrasia inayolinda haki za binadamu,Tungeona sahivi yupo rumande.
yaani mtu unatoa hoja eti tuwe na kiongozi muuaji. Hiv unajua kichochezi mojawapo Cha maendeleo ni watu( labour), Hawa watu wakiuwawa maendeleo yepi tutapata.
 
 

Attachments

  • VID-20231027-WA0000.mp4
    3.2 MB
Haki za binadamu inazaa,haki za mashoga,haki za mabasha,haki za wasagaji,haki za kutoa mimba,haki za kuvuta bangi,haki,haki,haki,ni upumbavu.
 
Hivi kweli unaitwa TUKANA UONE? Ugekuwa siyo TUKANA UONE ningekutukana 'pumbavu zako TUKANA UONE' ila naogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…