Hii nchi inawahitaji kina Paul Makonda wengi

kumbe kuna wapumbavu kuliko lofa Makonda, wewe mojawapo. We kenge mlaumu mamako aliyekuzaa kuwa lofa km Makonda
 
R.I.P CHUMAJPM
 
kumbe kuna wapumbavu kuliko lofa Makonda, wewe mojawapo. We kenge mlaumu mamako aliyekuzaa kuwa lofa km Makonda
Huu ujinga uliokomenti ndiyo sababu ya Kumuhitaji Bashite awe Rais ili akuondolee Mavi kichwani,maana wewe liafrica bila damu na Ngeu huwezi kwenda!
 
Tanzania bado tuna safari ndefu sana, kama bado tunaviumbe dizain ya mleta mada na kuna wanaomuunga mkono basi kazi ipo
 
Kwa lipi? Tutolee upumbavu wako , who that man , mtavuna mkipandacho asema Bwana, kama ni umafia wake ijichanganye safari hii, acheni upumbavu na sifa za kijinga
 
Kwa lipi? Tutolee upumbavu wako , who that man , mtavuna mkipandacho asema Bwana, kama ni umafia wake ijichanganye safari hii, acheni upumbavu na sifa za kijinga
Sasa Makonda Akiwa Rais wa nchi wewe mwehu mmoja usiyekuwa na lolote utafanya nini?
 
Kwenye utawala wowote, wakiwepo wenye busara na kukaa kimya tu, nchi haiwezi kuchangamka. Hivyo anachofanya makonda walishafanya kina mrema, lowasa, membe nk.

Wataongea wee... Watatukana wenzao wee..watapewa kila sifa, sijui makachelo sijui ndio Rais watalajiwa...lakini kiukweli mtu kama huyo ataishia hivyohivyo.
Sababu anatumika tu, kwenye vipindi vigumu kwa makusudi maalum,.

Mwisho wasiku akitamani wadhifa mkubwa zaidi hawezi kupewa na zaidizaidi hadi mwisho wa safari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…