Weee unajiringanisha na Makonda? Au unadhani wakuu wa nchi kuanzia Kikwete aliyempa ukuu wa wilaya ya Kinondoni, Magufuli ukuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Samia Katibu mkuu CCM alafu ukuu wa mkoa Arusha! Usimchulie poa Makonda! Kuna mitihani mikubwa kufanyika mkuu! Kuna vita vya wenye fedha, wachawi, magenge ya waharifu kama wauza unga, wezi, mafisadi hadi jamii ya kimataifa kote huko unapigwa! Makonda kahimili mikiki yote kwa awamu tatu za maraisi wa Tanzania. Makonda anajulikana hata Marekani ikampiga ban ya kutokanyaga yeye na mkewe! Usijiringanishe na Makonda sio mwenzako! Wewe hapo ulipo hata mwenyekiti wa mtaa uenda hakujui mpaka utoe maelezo! Kalaghabao!Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
Wapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPMHata chizi magufuli aliweza kutuongoza MAAJABU zaidi ni mwaka wa 3 Toka anekufa lakini anawafuasi kibao hata bashite anao wafuasi kibao
Sasa kama Samia kaweza kuwa rais, nani atashindwa kuwa mkuu wa mkoa?Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.
Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
Ukweli mtupu wtz wengi tunachuki za kijinga kwa viongozi wetuWapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPM
Nasema hivi, yeyote yule katika nchi yetu atakayetokea kuongoza nchi yetu huku akiwa amevaa miwani ya chuma kutaka kutokomeza ufisadi na rushwa na wanaojishibisha kwa migongo ya wengine na wao kutokufanya kazi, huyo atakuwa adui wa wapumbavu hao
Rais yeyote kutoka chama chochote nchini akitokea ana hasira na mafisadi, wala Rushwa, wahujumu uchumi kwa moyo wadhati, wewe ndugu MAPITO Mwanza utakuwa adaui no moja wa kiongozi huyo
Vijana legelege wa Tanzania wanapenda maisha chip, na ndiyo maana wengi wenu mmekuwa machoko, maana hampendi kazi, mwanaume unashindia chips?? Ndiyo maana mmekuwa mkiolewa wapuuzi nyinyi
Kosa la JPM ni kufanya ambayo wengi walishindwa
Rais Samia sasa utamlinganisha na jpm ambaye alikuwa anakimbizana na kila hasimu wake kisiasa kiasi akajipa mapresha bure? Umeshawahi kuona wapi rais wa nchi anaanza kurekodi watu wanaomsema vibaya kama.siyo jpm eti anawarekodi akina nape, kinana nk. Rais u akimbizana na trivial issues.Sasa kama Samia kaweza kuwa rais, nani atashindwa kuwa mkuu wa mkoa?
Sasa kama Samia kaweza kuwa rais, nani atashindwa kuwa mkuu wa mkoa?
Sasa jpm alichukizwa na ufisadi ki aje wakati ndo aliukumbatia ufisadi. We unajidai unafaiti ufisadi halafu unafunga vyombo vya habari kama tv, magazeti, blogs nk ambazo ndo huibua ufisadi hata rais mwenyewe akiwa fisaidi vinamuandika. Sasa jpm angeamua kufirisi nchi nani angemsema wakati kila mtu alimuogopaWapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPM
Nasema hivi, yeyote yule katika nchi yetu atakayetokea kuongoza nchi yetu huku akiwa amevaa miwani ya chuma kutaka kutokomeza ufisadi na rushwa na wanaojishibisha kwa migongo ya wengine na wao kutokufanya kazi, huyo atakuwa adui wa wapumbavu hao
Rais yeyote kutoka chama chochote nchini akitokea ana hasira na mafisadi, wala Rushwa, wahujumu uchumi kwa moyo wadhati, wewe ndugu MAPITO Mwanza utakuwa adaui no moja wa kiongozi huyo
Vijana legelege wa Tanzania wanapenda maisha chip, na ndiyo maana wengi wenu mmekuwa machoko, maana hampendi kazi, mwanaume unashindia chips?? Ndiyo maana mmekuwa mkiolewa wapuuzi nyinyi
Kosa la JPM ni kufanya ambayo wengi walishindwa
Magufuli ndio amekutoa kwenye mgao wa umeme sasa unaweza kuchaji kisimu chako uje kumkashifu mtandaoni.Hata chizi magufuli aliweza kutuongoza MAAJABU zaidi ni mwaka wa 3 Toka anekufa lakini anawafuasi kibao hata bashite anao wafuasi kibao
Hata shetani 😈 ana wafuasi kibao tena kumzidi Mungu kwa mbali sana.Hata chizi magufuli aliweza kutuongoza MAAJABU zaidi ni mwaka wa 3 Toka anekufa lakini anawafuasi kibao hata bashite anao wafuasi kibao
Upo nyuma Kama matako unataka kumuaminisha nani kwamba wakati jiwe anapata urais INCHI YETU aikua na umeme? Punguza ujinga basi hukumbuki ya chato intenesional airport au ulikua mtotoMagufuli ndio amekutoa kwenye mgao wa umeme sasa unaweza kuchaji kisimu chako uje kumkashifu mtandaoni.
Kwani nikisema Samia anaharibu ndiyo nimesema Magufuli hakuharibu?Rais Samia sasa utamlinganisha na jpm ambaye alikuwa anakimbizana na kila hasimu wake kisiasa kiasi akajipa mapresha bure? Umeshawahi kuona wapi rais wa nchi anaanza kurekodi watu wanaomsema vibaya kama.siyo jpm eti anawarekodi akina nape, kinana nk. Rais u akimbizana na trivial issues.
Mbona kama umepaniki Mzee au limekuchomaa mwana kwetu?Wapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPM