Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.

Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
 
Kwani Gwajima si alileta humu matokeo ya kidato cha nne ya Daudi Albert Bashite?
 
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.

Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
Weee unajiringanisha na Makonda? Au unadhani wakuu wa nchi kuanzia Kikwete aliyempa ukuu wa wilaya ya Kinondoni, Magufuli ukuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Samia Katibu mkuu CCM alafu ukuu wa mkoa Arusha! Usimchulie poa Makonda! Kuna mitihani mikubwa kufanyika mkuu! Kuna vita vya wenye fedha, wachawi, magenge ya waharifu kama wauza unga, wezi, mafisadi hadi jamii ya kimataifa kote huko unapigwa! Makonda kahimili mikiki yote kwa awamu tatu za maraisi wa Tanzania. Makonda anajulikana hata Marekani ikampiga ban ya kutokanyaga yeye na mkewe! Usijiringanishe na Makonda sio mwenzako! Wewe hapo ulipo hata mwenyekiti wa mtaa uenda hakujui mpaka utoe maelezo! Kalaghabao!
 
Hata chizi magufuli aliweza kutuongoza MAAJABU zaidi ni mwaka wa 3 Toka anekufa lakini anawafuasi kibao hata bashite anao wafuasi kibao
Wapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPM

Nasema hivi, yeyote yule katika nchi yetu atakayetokea kuongoza nchi yetu huku akiwa amevaa miwani ya chuma kutaka kutokomeza ufisadi na rushwa na wanaojishibisha kwa migongo ya wengine na wao kutokufanya kazi, huyo atakuwa adui wa wapumbavu hao

Rais yeyote kutoka chama chochote nchini akitokea ana hasira na mafisadi, wala Rushwa, wahujumu uchumi kwa moyo wadhati, wewe ndugu MAPITO Mwanza utakuwa adaui no moja wa kiongozi huyo

Vijana legelege wa Tanzania wanapenda maisha chip, na ndiyo maana wengi wenu mmekuwa machoko, maana hampendi kazi, mwanaume unashindia chips?? Ndiyo maana mmekuwa mkiolewa wapuuzi nyinyi

Kosa la JPM ni kufanya ambayo wengi walishindwa
 
Wanapeana vyeo kulipana fadhila..
Huo ndo mfumo wao
Makonda,Babu tale ,mwana fa,Tito magoti,shigongo,Nikki wa pili,jokate,chalamila na wengineo wengi.ni fadhila Kwa Yale walifanya.
Angalia wanavyoendenda halafu uone kama Wana qualities za kuhandle uongozi waliopewa
 
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in leadership.

Nimekubaliana na mwamafalsafa mmoja kwamba "If you excel in class you are likely to excel in so many things and vice versa is true"
Sasa kama Samia kaweza kuwa rais, nani atashindwa kuwa mkuu wa mkoa?
 
Wapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPM

Nasema hivi, yeyote yule katika nchi yetu atakayetokea kuongoza nchi yetu huku akiwa amevaa miwani ya chuma kutaka kutokomeza ufisadi na rushwa na wanaojishibisha kwa migongo ya wengine na wao kutokufanya kazi, huyo atakuwa adui wa wapumbavu hao

Rais yeyote kutoka chama chochote nchini akitokea ana hasira na mafisadi, wala Rushwa, wahujumu uchumi kwa moyo wadhati, wewe ndugu MAPITO Mwanza utakuwa adaui no moja wa kiongozi huyo

Vijana legelege wa Tanzania wanapenda maisha chip, na ndiyo maana wengi wenu mmekuwa machoko, maana hampendi kazi, mwanaume unashindia chips?? Ndiyo maana mmekuwa mkiolewa wapuuzi nyinyi

Kosa la JPM ni kufanya ambayo wengi walishindwa
Ukweli mtupu wtz wengi tunachuki za kijinga kwa viongozi wetu
 
Sasa kama Samia kaweza kuwa rais, nani atashindwa kuwa mkuu wa mkoa?
Rais Samia sasa utamlinganisha na jpm ambaye alikuwa anakimbizana na kila hasimu wake kisiasa kiasi akajipa mapresha bure? Umeshawahi kuona wapi rais wa nchi anaanza kurekodi watu wanaomsema vibaya kama.siyo jpm eti anawarekodi akina nape, kinana nk. Rais u akimbizana na trivial issues.
 
20240716_003554.jpg
 
Wapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPM

Nasema hivi, yeyote yule katika nchi yetu atakayetokea kuongoza nchi yetu huku akiwa amevaa miwani ya chuma kutaka kutokomeza ufisadi na rushwa na wanaojishibisha kwa migongo ya wengine na wao kutokufanya kazi, huyo atakuwa adui wa wapumbavu hao

Rais yeyote kutoka chama chochote nchini akitokea ana hasira na mafisadi, wala Rushwa, wahujumu uchumi kwa moyo wadhati, wewe ndugu MAPITO Mwanza utakuwa adaui no moja wa kiongozi huyo

Vijana legelege wa Tanzania wanapenda maisha chip, na ndiyo maana wengi wenu mmekuwa machoko, maana hampendi kazi, mwanaume unashindia chips?? Ndiyo maana mmekuwa mkiolewa wapuuzi nyinyi

Kosa la JPM ni kufanya ambayo wengi walishindwa
Sasa jpm alichukizwa na ufisadi ki aje wakati ndo aliukumbatia ufisadi. We unajidai unafaiti ufisadi halafu unafunga vyombo vya habari kama tv, magazeti, blogs nk ambazo ndo huibua ufisadi hata rais mwenyewe akiwa fisaidi vinamuandika. Sasa jpm angeamua kufirisi nchi nani angemsema wakati kila mtu alimuogopa
 
Magufuli ndio amekutoa kwenye mgao wa umeme sasa unaweza kuchaji kisimu chako uje kumkashifu mtandaoni.
Upo nyuma Kama matako unataka kumuaminisha nani kwamba wakati jiwe anapata urais INCHI YETU aikua na umeme? Punguza ujinga basi hukumbuki ya chato intenesional airport au ulikua mtoto
 
Rais Samia sasa utamlinganisha na jpm ambaye alikuwa anakimbizana na kila hasimu wake kisiasa kiasi akajipa mapresha bure? Umeshawahi kuona wapi rais wa nchi anaanza kurekodi watu wanaomsema vibaya kama.siyo jpm eti anawarekodi akina nape, kinana nk. Rais u akimbizana na trivial issues.
Kwani nikisema Samia anaharibu ndiyo nimesema Magufuli hakuharibu?

Wapi nimemlinganisha Samia na JPM?

Nimemuongelea Samia kwa sababu ndiye rais sasa hivi, JPM kashajifia zake mbali huko.

She is our latest blunder. She is our current blunder.
 
Wapumbavu wengi wa CCM na CHADEMA na wasiokuwa na chama, mara zote hujionyesha kuchukizwa na utawala wa JPM, lengo lao ni la kiundani zaidi, ni tofauti kabisa na kile wanakieleza juu ya ubaya wa JPM

Nasema hivi, yeyote yule katika nchi yetu atakayetokea kuongoza nchi yetu huku akiwa amevaa miwani ya chuma kutaka kutokomeza ufisadi na rushwa na wanaojishibisha kwa migongo ya wengine na wao kutokufanya kazi, huyo atakuwa adui wa wapumbavu hao

Rais yeyote kutoka chama chochote nchini akitokea ana hasira na mafisadi, wala Rushwa, wahujumu uchumi kwa moyo wadhati, wewe ndugu MAPITO Mwanza utakuwa adaui no moja wa kiongozi huyo

Vijana legelege wa Tanzania wanapenda maisha chip, na ndiyo maana wengi wenu mmekuwa machoko, maana hampendi kazi, mwanaume unashindia chips?? Ndiyo maana mmekuwa mkiolewa wapuuzi nyinyi

Kosa la JPM ni kufanya ambayo wengi walishindwa
Mbona kama umepaniki Mzee au limekuchomaa mwana kwetu?
 
Tusimlaumu sana Bashite kwani mfumo wa uongozi wa ccm ndio unaendana na ghasia kama hizo.

Hata akina Pep Guardiola akipewa timu kufundisha kuna aina ya wachezaji anaowachukua wanaoendana na mfumo wake na hicho ndicho ccm wanacho kifanya na kumfanya Makonda awe hapo alipo.

There is no a formula other than that and that clearly defines the character and DNA of the ccm as a political party.
 
Siyo mkuu wa mkoa tu.mtu yeyote anaweza kuwa rais hata kichaa.wewe angalia tu rais Samia anavyopuyanga.kila kitu kauza na kufanya matamasha ya ajabuajabu tu.mfano royal tour hakuna chochote tulichonufaika nacho,anuani za makazi Hadi wa kina nape nauye wakawa wanapaa angani na ndege za jeshi kuchezea Kodi zetu lakini hakuna faida tuliyopata na Kwa Sasa Tena anatembea na msafara wa magari usiopungua miambili Kwa Kodi zetu.yaani huyu hakustahili kabisa kurithishwa sema tu Kwa kuwa katiba ilitungwa na wabunge vichaa ambao wamepelekea kupata kiongozi kichaa kama huyu.
 
Back
Top Bottom