Ni kweli, kuna maeneo unakuta watu wanaishi huko, wameonewa huruma wakajengewa shule ila huduma zingine hakuna kabisa. Simu tu unaenda mbali kupiga, mwalimu ukipangiwa huko unafundisha unavyotaka kipindi kimoja kimoja kwa kila darasa inatosha kwa siku, maana hata wakaguzi hawafiki huko hakuvutii na usafiri ni wa shida, mwendo ni pori kwa pori tu