Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
- Thread starter
- #21
Ndio mkuusorry kumbe ulishawai itwa doh pole dial again later
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuusorry kumbe ulishawai itwa doh pole dial again later
Msaada mkubwa sana umempa mdau!ktk system ya maisha vipo vitu vimewekwa siyo ili kila mtu awe navyo ni ili viwape motisha wa kuangalia mambo kwa mtazamo tofauti.Inaumiza sana mkuu pole. Nikuombe kitu fikia hatua kubali kusoma kwako ilikua part ya maisha afu ruhusu maisha mengine yaendelee.
Vijana mumezidi kucheza na vyeti feki ndiyo maana munaambiwa mucertifyNECTA wanakujua na ndio waliokupa cheti ila leo wewe ndio unaambiwa uthibitishe cheti chako.. hii logic mimi hua siielewi[emoji28][emoji28]
Mwenye uhalali wa kuthibitisha cheti chako ni yule aliyekupa pekee. Inamaana Taasisi zetu zimeshidwa kabisa kuitumia technolojia, yaani ujulikane sehemu moja alafu sehemu zingine ujithibitishe?[emoji28][emoji28]
Anyway! hapo kosa ni lako, ulitakiwa kufuata taratibu zilizowekwa (bila kujali zina logic au la).
Ila mkuu, hawa watu hawasomeki, kumbuka miaka yote na kila siku watu walikuwa wanaomba kazi na walitwa Usaili bila hayo mambo, Sasa huu mwaka ulivyoingia tu wameanza hiz habari, kwanini wameshindwa kutoa notes kwa huu mwaka kwamba inatakiwa kitu fulani kama walivyofanya kwenye namba za Nida..(Maana walitoa tangazo kabisa Sasa hv huwezi kuomba Ajira bila namba za Nida kwa ajili ya utambuzi zaidi na watu tulielewa.NECTA wanakujua na ndio waliokupa cheti ila leo wewe ndio unaambiwa uthibitishe cheti chako.. hii logic mimi hua siielewi[emoji28][emoji28]
Mwenye uhalali wa kuthibitisha cheti chako ni yule aliyekupa pekee. Inamaana Taasisi zetu zimeshidwa kabisa kuitumia technolojia, yaani ujulikane sehemu moja alafu sehemu zingine ujithibitishe?[emoji28][emoji28]
Anyway! hapo kosa ni lako, ulitakiwa kufuata taratibu zilizowekwa (bila kujali zina logic au la).
Certified copy ni ile yenye muhuri wa wakili..... sasa huo muhuri nani atau-certify?[emoji23][emoji23][emoji23]Vijana mumezidi kucheza na vyeti feki ndiyo maana munaambiwa mucertify
Duuh kisanga kweliCertified copy ni ile yenye muhuri wa wakili..... sasa huo muhuri nani atau-certify?[emoji23][emoji23][emoji23]
Suala la kuthibitisha vyeti mbona lipo toka kitambo? Nafikiri sasa hivi wamelitilia mkazo zaidi.Ila mkuu, hawa watu hawasomeki, kumbuka miaka yote na kila siku watu walikuwa wanaomba kazi na walitwa Usaili bila hayo mambo, Sasa huu mwaka ulivyoingia tu wameanza hiz habari, kwanini wameshindwa kutoa notes kwa huu mwaka kwamba inatakiwa kitu fulani kama walivyofanya kwenye namba za Nida..(Maana walitoa tangazo kabisa Sasa hv huwezi kuomba Ajira bila namba za Nida kwa ajili ya utambuzi zaidi na watu tulielewa.
Hii nchi ni ngumu sana wadau, eti hapo mtu kashaliwa kichwa Hali ya kuwa alishawahi kuitwa Interview 2 na akafanya.
Alafu hawataki hata kupitia tena majina maana wengine walipeleka kwa Hakimu Ila bado wameandikiwa vivyohivyo.
Hii nchi ngumu sana inafikia kipindi mtu unawaza Why umezaliwa nchi yenye watu wabaya namna hii kama hawa wasio na huruma, vyeti unavyo na hata ukifika Interview unakaguliwa Ila bado Unaonekana we ni mlaghai, Sasa hivi kupata kazi ni ngumu na hata kuitwa Usaili ni ngumu pia?
Nipo Frustrated sana wadau sijui kwanini wamenifanyia unyama namna hii, Just imagine wangeniita usahili hapa wangepungukiwa nini?
Nauli ya kwenda ni ya kwangu, kula na kalala ni juu yangu, nikateseke na maswali juu yangu Shida kwao Iko wapi sasa..!!
INASIKITISHA SANA
View attachment 2159841
Vijana wengi hawana umakini kabisa kwenye mambo ila ni wepesi sana kulalamika! Binafsi nimekuwa kwenye interview pannels mara nyingi na ukweli ni kwamba watu wengi hua wanakosa kazi kwa sababu za kijinga kabisa! Unakuta mtu ana vigezo vyote ila anakosa kazi.Watanzania tuna ujinga mwingi sana na kupenda kufarijiana hata kwenye makosa ya wazi. Mchane mtu ili ajifunze wakati mwingine hatafanya uzembe.
Kwa maelezo ya mtoa mada haku certify vyeti vyake hivyo amekiuka kigezo kimojawapo.
Unaweza kuona jambo ni dogo lakini kwa organisation ambayo ni serious unatuma signal kwamba Wewe ni mtu usiye makini, usiyezingatia mambo.
Nani atakuajiri sasa ili ukalete uzembe?
Wewe mtoa mada hukuitwa kwasababu ya uzembe wako na kukosa umakini, kwamba ni kwasababu huna connection hiyo ni assumption
Watu wamefanya hvyo vyote na bado wameachwaVijana wengi hawana umakini kabisa kwenye mambo ila ni wepesi sana kulalamika! Binafsi nimekuwa kwenye interview pannels mara nyingi na ukweli ni kwamba watu wengi hua wanakosa kazi kwa sababu za kijinga kabisa! Unakuta mtu ana vigezo vyote ila anakosa kazi.
Mfano:
- unakuta mtu hajabandika passport size
- unakuta barua yake haja sign mwishoni
- hajaweka referees, au kaweka wa uongo!
- hajagonga mihuri husika
- hajaweka baadhi ya attachments
Sasa vitu kama hivi ni automatic barua inatupwa kwenye dustbin maana applicant wapo 70 nafasi zipo 3.
Hizi sasa stori, lazima kutakua sababu ya kuachwa. Badala ya kulalamika jifunze nenda uka certify vyeti.Watu wamefanya hvyo vyote na bado wameachwa
Sio poah kabisa mkuuUnaweza ukakamilisha vigezo vyote, wakakuambia cheti kimeliwa na mende, maandishi hayasomeki vizuri.
Mkuu,vyeti vyako viko genuine kweli?maana kucertify mahakamani ni elfu 5,sijui unaona ugumu gani kwenda hukoSio poah kabisa mkuu
Mkuu nimecertify mkuu clear stamp from Mahakama ya wilaya.Mkuu,vyeti vyako viko genuine kweli?maana kucertify mahakamani ni elfu 5,sijui unaona ugumu gani kwenda huko
Ujue wakati mwengine tunaponzwa na Muonekano au Jina, inawezekana unasadifu na muonekano wako.Hii nchi ni ngumu sana wadau, eti hapo mtu kashaliwa kichwa Hali ya kuwa alishawahi kuitwa Interview 2 na akafanya.
Alafu hawataki hata kupitia tena majina maana wengine walipeleka kwa Hakimu Ila bado wameandikiwa vivyohivyo.
Hii nchi ngumu sana inafikia kipindi mtu unawaza Why umezaliwa nchi yenye watu wabaya namna hii kama hawa wasio na huruma, vyeti unavyo na hata ukifika Interview unakaguliwa Ila bado Unaonekana we ni mlaghai, Sasa hivi kupata kazi ni ngumu na hata kuitwa Usaili ni ngumu pia?
Nipo Frustrated sana wadau sijui kwanini wamenifanyia unyama namna hii, Just imagine wangeniita usahili hapa wangepungukiwa nini?
Nauli ya kwenda ni ya kwangu, kula na kalala ni juu yangu, nikateseke na maswali juu yangu Shida kwao Iko wapi sasa..!!
INASIKITISHA SANA
View attachment 2159841
Kwahyo hii ID ndo natumia Hadi kwenye vyeti vyangu..? Utakuwa huijui JF,, hv ww hyo ID unayotumia ndio Jina lako husika..?Ujue wakati mwengine tunaponzwa na Muonekano au Jina, inawezekana unasadifu na muonekano wako.
Sasa mtu ushajiita shombe la kisomali, nani anataka AL shabab kazini kwake?