Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

Wewe hapo unauhaeni juzi hapo kwenye interview za TRA watu wameitwa kabisa kunawatu hajafanya paper kisa wana copy ya kitabulisho cha kupiga kura/NIDA

Mtu unapoteza nauli, pesa ya kujikimu na muda pata picha umetoka kigoma
 
Ni kweli inasikitisha sana, Hapo mtu anajikuta katupa Laki 2 yake shimoni kabisa
 
Back
Top Bottom