Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

NECTA wanakujua na ndio waliokupa cheti ila leo wewe ndio unaambiwa uthibitishe cheti chako.. hii logic mimi hua siielewi[emoji28][emoji28]
Mwenye uhalali wa kuthibitisha cheti chako ni yule aliyekupa pekee. Inamaana Taasisi zetu zimeshidwa kabisa kuitumia technolojia, yaani ujulikane sehemu moja alafu sehemu zingine ujithibitishe?[emoji28][emoji28]

Anyway! hapo kosa ni lako, ulitakiwa kufuata taratibu zilizowekwa (bila kujali zina logic au la).
 
Vijana mumezidi kucheza na vyeti feki ndiyo maana munaambiwa mucertify
 
Ila mkuu, hawa watu hawasomeki, kumbuka miaka yote na kila siku watu walikuwa wanaomba kazi na walitwa Usaili bila hayo mambo, Sasa huu mwaka ulivyoingia tu wameanza hiz habari, kwanini wameshindwa kutoa notes kwa huu mwaka kwamba inatakiwa kitu fulani kama walivyofanya kwenye namba za Nida..(Maana walitoa tangazo kabisa Sasa hv huwezi kuomba Ajira bila namba za Nida kwa ajili ya utambuzi zaidi na watu tulielewa.
 
Suala la kuthibitisha vyeti mbona lipo toka kitambo? Nafikiri sasa hivi wamelitilia mkazo zaidi.
 
Watanzania tuna ujinga mwingi sana na kupenda kufarijiana hata kwenye makosa ya wazi. Mchane mtu ili ajifunze wakati mwingine hatafanya uzembe.

Kwa maelezo ya mtoa mada haku certify vyeti vyake hivyo amekiuka kigezo kimojawapo.
Unaweza kuona jambo ni dogo lakini kwa organisation ambayo ni serious unatuma signal kwamba Wewe ni mtu usiye makini, usiyezingatia mambo.
Nani atakuajiri sasa ili ukalete uzembe?

Wewe mtoa mada hukuitwa kwasababu ya uzembe wako na kukosa umakini, kwamba ni kwasababu huna connection hiyo ni assumption
 

Mkuu be strong, fanyia kazi izo remark yao
You never know , there is always next time
 
Vijana wengi hawana umakini kabisa kwenye mambo ila ni wepesi sana kulalamika! Binafsi nimekuwa kwenye interview pannels mara nyingi na ukweli ni kwamba watu wengi hua wanakosa kazi kwa sababu za kijinga kabisa! Unakuta mtu ana vigezo vyote ila anakosa kazi.
Mfano:
  • unakuta mtu hajabandika passport size
  • unakuta barua yake haja sign mwishoni
  • hajaweka referees, au kaweka wa uongo!
  • hajagonga mihuri husika
  • hajaweka baadhi ya attachments

Sasa vitu kama hivi ni automatic barua inatupwa kwenye dustbin maana applicant wapo 70 nafasi zipo 3.
 
Watu wamefanya hvyo vyote na bado wameachwa
 
Mkuu,vyeti vyako viko genuine kweli?maana kucertify mahakamani ni elfu 5,sijui unaona ugumu gani kwenda huko
Mkuu nimecertify mkuu clear stamp from Mahakama ya wilaya.
Sijajua kama Kuna mashine ndo zinakagua au ni macho ya binadamu,, maana Human Errors zipo. Halafu hawana hata re-exploration.
 
Ujue wakati mwengine tunaponzwa na Muonekano au Jina, inawezekana unasadifu na muonekano wako.

Sasa mtu ushajiita shombe la kisomali, nani anataka AL shabab kazini kwake?
 
Ujue wakati mwengine tunaponzwa na Muonekano au Jina, inawezekana unasadifu na muonekano wako.

Sasa mtu ushajiita shombe la kisomali, nani anataka AL shabab kazini kwake?
Kwahyo hii ID ndo natumia Hadi kwenye vyeti vyangu..? Utakuwa huijui JF,, hv ww hyo ID unayotumia ndio Jina lako husika..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…