Hii nchi ni rahisi kupata pesa. Kijana usikubali kukaa bila pesa

Sema huwa ni Ka ushamba fulan hv ..hasa ukiwa umesota alaf ukafuma gap , unawaona Wana wote kitaa kama wanatania kwenye utafutaji , hata hvyo mafanikio ya mtu ni kama nguo ya ndani hayaanikwi hovyo hovyo ... Follow uone mapicha picha
 
Kuonesha na kujigamba unapesa uwa sio makosa wala sio zambi na wala aikataliwi ttzo ni pale unapoanza kukashifu ambao hawajafanikiwa apo ndo huwa naona kuna ttzo
Ila kujigamba kujisifia km una pesa ni haki yako nani sawa kabisa sabu ata mabilionea weng dunian hujisifia ubilionea wao na wakat mwingne ujisifia maisha yao yalivyo ya thamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…