Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mwone kijana mwenzako huyu ana pesa. Tanzania pesa kila sehemu zimejaa, shambani, sokoni, kazini, mitaani.
Ni wewe tu kutumia akili kidogo unazipata.
Ni wewe tu kutumia akili kidogo unazipata.