Viwanda vipi alivyotuachia mkoloni? Nenda wewe kajiuze na familia yako kama unapenda kutawaliwaMkuu Mkoloni wa Kiingereza alituachia Nchii ikiwa intact ikiwa na viwanda nk.
Tumeshindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanda vipi alivyotuachia mkoloni? Nenda wewe kajiuze na familia yako kama unapenda kutawaliwaMkuu Mkoloni wa Kiingereza alituachia Nchii ikiwa intact ikiwa na viwanda nk.
Tumeshindwa.
HahaaaaNi muujiza gani wanakuja nao hao Dp au makontena yatakua yanapaa hewani?
JPM ametuonyesha inawezekana, kabla hakuna aliyethubutu kusema inawezekana, amekufa tunarudishwa kwenye yale yale mawazo mfu na ya unyonge...Wanyonge wasituhamishie unyonge wao, sisi tunaweza kama wao hawawezi waachie ngaziHaijaamua tu kufanya.
Bunge aliwezi kurekebisha itakuwa kuvunja maridhiano. Kinachoweza kufanyika "Makubaliano" hayo kutokuwa "Mkataba" Rais asiposaini hadi upande wa pili ukubali marekebisho, yarejeshwe tena Bunge kwa kuridhiwa. Lakini, kwa hali ya sasa tayari Bunge limeridhia na kumwachia Rais maamuzi.Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Viwanda tulivyovitaifisha Reli Mashamba makubwa ya Mkonge nk.Viwanda vipi alivyotuachia mkoloni? Nenda wewe kajiuze na familia yako kama unapenda kutawaliwa
Alivijenga mkoloni? Ulizaliwa lini wewe? Acha kujidharau...Kwa taarifa yako hivyo viwanda vilijengwa na Hayati Rais wa kwanza mwl JK Nyerere...Punguza kujiuza kwa weupeViwanda tulivyovitaifisha Reli Mashamba makubwa ya Mkonge nk.
Au umeshasahau mara hii.
Vingi vilitaifishwa kutoka kwa Wakoloni ni Kiwanda kimoja tu ndio tulijengewa bure na Wachina "Urafiki".Alivijenga mkoloni? Ulizaliwa lini wewe? Acha kujidharau...Kwa taarifa yako hivyo viwanda vilijengwa na Hayati Rais wa kwanza mwl JK Nyerere...Punguza kujiuza kwa weupe
Yes, DPW wana uwezo, ability, capacity, capability.Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Sisi hatuwezi na sio Bandari tuu, kuna vitu vingi tumeshindwa Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?Kwani sisi hatuwezi
Hili limefanyika na likamgharimu Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulukuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Kwanini tukope wakati DP World wanazo?.Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Hakune mbunge atarudi Bungeni ukiacha Mpina na yule Mama wa MpandaKwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
Paschal mpe ukweli wake huyo Sukuma gangzYes, DPW wana uwezo, ability, capacity, capability.
Sisi hatuwezi na sio Bandari tuu, kuna vitu vingi tumeshindwa Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Hili limefanyika na likamgharimu Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu
Kwanini tukope wakati DP World wanazo?.
P
Wewe ni msukule usiyejitambua uliyejikatia tamaa, hamia Burundi.Huna akili. Uwekezaji gani mnaweza Tanzania zaidi ya wizi tu
Shingo zenu zimebeba tofali, nazihurumia sana.Tatizo ni IQ hafifu na ni ulemavu kama ulemavu mwingine.
Hongera kwakua mtumwa wa weupe, mimi siyo sijawahi wala sintowahi kuwa...Na kwa habari ya viwanda upo mtupu, kuweza kupata majibu tumia hata google itakusaidia...Alamsiki!Vingi vilitaifishwa kutoka kwa Wakoloni ni Kiwanda kimoja tu ndio tulijengewa bure na Wachina "Urafiki".
Kuhusu "weupe" Yesu mweupe Muhammad mweupe hiyo simu unayotumia imevumbuliwa na weupe Dini uliyonayo ya weupe nguo ulizovaa ni mitumba ya weupe.
Upo hapo?
Kwanini wewe isilete huo ukweli ili tuujadili humu?Na kwa habari ya viwanda upo mtupu
Kujenga cranes kushusha makontenaNi muujiza gani wanakuja nao hao Dp au makontena yatakua yanapaa hewani?
Acha uzwazwaMuda utaongea...