AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba...
Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila watakusimanga kwa uzembe SIO MJANJA.
KILA MTU ANAFANYA KILA MBINU AMPIGE BOSS WAKE...
KILA MWENYE NGUVU NA MWENYE UWEZO ANAFANYA KILA MBINU AMDHULUMU ALIYE DHAIFU.
Umbea ndio umekithiri...watu hawaharibiani maofisini tu...ukitaka kujua jamii hii imekaa kimbea mbea...KILA MTU AKIWA NA SMARTPHONE anamrekodi tu mwenzio bila kujua mwenzie anafanya nini...ila kwakuwa yeye ni MJINGA hajui analofanya mwenzie...anaona la ajabu anarekodi anapost...
Mfano yule nurse aliyekuwa akiosha vifaa vile...hakujua anaosha nini na kwa sababu nw utaratibu gani...kwa upumbavu wake...yeye anarekodi kumharibia mwenzie anapost atafute umaarufu...
Mwingine ni mtu yupo hospital na smart yake... INAJULIKANA HAIPASWI KUREKODI CHOCHOTE HOSPITAL...YEYE KWA UMBEA ANAREKODI MGONJWA NA MPENZI WAKE WANABUSUANA ANAPOST.
SASA WALE WALE WALIOBUSUANA WODINI NA YULE ALIRECORD HOSPITAL NANJ MWENYE KOSA KUBWA LA KUSHTAKIWA NA FIDIA JUU.
MIMI NINASHAURI MAMLAKA...IZUIE KWENDA NA SIMU KWENYE MAENEO YA HOSPITAL KWA NAMNA YOYOTE ILE ISIPOKUWA MANAGEMENT TU.
UMBEA NA UOVU UMEKITHIRI MIONGONI MWETU...VIONGOZI NI ALAMA TU WANAOWAKILISHA JINSI SISI TULIVYO... TUBADILIKE KWANZA SISI NDIO HATA VIONGOZI WETU WATAKUWA WEMA.