wagonjwa wanajifia sio kwa sbb madawa na vifaa hakuna... kuna wakati watoa huduma wanaamua tu kutotoa huduma...Kuna ajali ilitokea ya roli lilibeba magodoro, likaanza kuwaka moto dereva milango imejilock anaomba msaada raia hawaelewi wanaendelea kuchukua magodoro.
Yule dereva alilia sana mpk mwisho akaamua kuwatupia vitambulisho vyake wawajulishe ndugu zake km yeye amekufa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kile kitu kiliniumiza mpk kesho nawachukia watu wa eneo lile, ni zaidi ya mashetani
Dah inasikitisha sana
wagonjwa wanajifia sio kwa sbb madawa na vifaa hakuna... kuna wakati watoa huduma wanaamua tu kutotoa huduma...
hao watu wa eneo hilo.... ni sample halisi ya Watanzania wengi... wakiwemo tuliowapa Mamlaka
NAAM..!Wananchi wabovu uzaa viongozi wabovu
Umesahau...Masikini akiota makalio hulia...(malizia)Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba...
Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila watakusimanga kwa uzembe SIO MJANJA.
KILA MTU ANAFANYA KILA MBINU AMPIGE BOSS WAKE...
KILA MWENYE NGUVU NA MWENYE UWEZO ANAFANYA KILA MBINU AMDHULUMU ALIYE DHAIFU.
Umbea ndio umekithiri...watu hawaharibiani maofisini tu...ukitaka kujua jamii hii imekaa kimbea mbea...KILA MTU AKIWA NA SMARTPHONE anamrekodi tu mwenzio bila kujua mwenzie anafanya nini...ila kwakuwa yeye ni MJINGA hajui analofanya mwenzie...anaona la ajabu anarekodi anapost...
Mfano yule nurse aliyekuwa akiosha vifaa vile...hakujua anaosha nini na kwa sababu nw utaratibu gani...kwa upumbavu wake...yeye anarekodi kumharibia mwenzie anapost atafute umaarufu...
Mwingine ni mtu yupo hospital na smart yake... INAJULIKANA HAIPASWI KUREKODI CHOCHOTE HOSPITAL...YEYE KWA UMBEA ANAREKODI MGONJWA NA MPENZI WAKE WANABUSUANA ANAPOST.
SASA WALE WALE WALIOBUSUANA WODINI NA YULE ALIRECORD HOSPITAL NANJ MWENYE KOSA KUBWA LA KUSHTAKIWA NA FIDIA JUU.
MIMI NINASHAURI MAMLAKA...IZUIE KWENDA NA SIMU KWENYE MAENEO YA HOSPITAL KWA NAMNA YOYOTE ILE ISIPOKUWA MANAGEMENT TU.
UMBEA NA UOVU UMEKITHIRI MIONGONI MWETU...VIONGOZI NI ALAMA TU WANAOWAKILISHA JINSI SISI TULIVYO... TUBADILIKE KWANZA SISI NDIO HATA VIONGOZI WETU WATAKUWA WEMA.
Ni maana ya kuwa kiongozi? Kuna sifa za uongozi. Hata kama jamii atokanayo kiongozi haina maadili, kiongozi ndio wa kusimama hadharani na kuwaonesha jamii ukosefu wa maadili na madhara yake. La sivyo hakuna haja wa hoja ya kuwa na kiongoziHawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba...
Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila watakusimanga kwa uzembe SIO MJANJA.
KILA MTU ANAFANYA KILA MBINU AMPIGE BOSS WAKE...
KILA MWENYE NGUVU NA MWENYE UWEZO ANAFANYA KILA MBINU AMDHULUMU ALIYE DHAIFU.
Umbea ndio umekithiri...watu hawaharibiani maofisini tu...ukitaka kujua jamii hii imekaa kimbea mbea...KILA MTU AKIWA NA SMARTPHONE anamrekodi tu mwenzio bila kujua mwenzie anafanya nini...ila kwakuwa yeye ni MJINGA hajui analofanya mwenzie...anaona la ajabu anarekodi anapost...
Mfano yule nurse aliyekuwa akiosha vifaa vile...hakujua anaosha nini na kwa sababu nw utaratibu gani...kwa upumbavu wake...yeye anarekodi kumharibia mwenzie anapost atafute umaarufu...
Mwingine ni mtu yupo hospital na smart yake... INAJULIKANA HAIPASWI KUREKODI CHOCHOTE HOSPITAL...YEYE KWA UMBEA ANAREKODI MGONJWA NA MPENZI WAKE WANABUSUANA ANAPOST.
SASA WALE WALE WALIOBUSUANA WODINI NA YULE ALIRECORD HOSPITAL NANJ MWENYE KOSA KUBWA LA KUSHTAKIWA NA FIDIA JUU.
MIMI NINASHAURI MAMLAKA...IZUIE KWENDA NA SIMU KWENYE MAENEO YA HOSPITAL KWA NAMNA YOYOTE ILE ISIPOKUWA MANAGEMENT TU.
UMBEA NA UOVU UMEKITHIRI MIONGONI MWETU...VIONGOZI NI ALAMA TU WANAOWAKILISHA JINSI SISI TULIVYO... TUBADILIKE KWANZA SISI NDIO HATA VIONGOZI WETU WATAKUWA WEMA.
Viongozi wanawajibu wa kuonesha jinsi ya kuishi maisha yenye staha, weledi na uaminifu.Wananchi wabovu uzaa viongozi wabovu
Uongozi Bora ni matokeo ya malezi bora toka kwa wazazi boraViongozi wanawajibu wa kuonesha jinsi ya kuishi maisha yenye staha, weledi na uaminifu.
Na sio siri, kinachoiua Tz, ni kukosekana kwa uongozi bora!
Si kila lifanywalo na wazazi ni la kufuata. Kila mtu ana akili na utashi wa kujua jema na baya. Tuwe na utambuzi tuliojaliwa.Uongozi Bora ni matokeo ya malezi bora toka kwa wazazi bora
Shida kwenye kufuata lakini maadili ya uongo aweje yapoSi kila lifanywalo na wazazi ni la kufuata. Kila mtu ana akili na utashi wa kujua jema na baya. Tuwe na utambuzi tuliojaliwa.
Kuna sifa na maadili ya yeyote anayetaka kuwa kiongozi, yazingatiwe na kufuatwa.
ALAFU HAO BAADAE ANALALAMIKA UGUMU WA MAISHA ANAMLALAMIKIA MAMA SAMIA.Kuna ajali ilitokea ya roli lilibeba magodoro, likaanza kuwaka moto dereva milango imejilock anaomba msaada raia hawaelewi wanaendelea kuchukua magodoro.
Yule dereva alilia sana mpk mwisho akaamua kuwatupia vitambulisho vyake wawajulishe ndugu zake km yeye amekufa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kile kitu kiliniumiza mpk kesho nawachukia watu wa eneo lile, ni zaidi ya mashetani
WATU WA ENEO GANI? TUSAIDIANE KUWACHUKIA...HUWEZI KUWACHUKIA PEKEE YAKO.Kuna ajali ilitokea ya roli lilibeba magodoro, likaanza kuwaka moto dereva milango imejilock anaomba msaada raia hawaelewi wanaendelea kuchukua magodoro.
Yule dereva alilia sana mpk mwisho akaamua kuwatupia vitambulisho vyake wawajulishe ndugu zake km yeye amekufa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kile kitu kiliniumiza mpk kesho nawachukia watu wa eneo lile, ni zaidi ya mashetani
Naam...hao watu wa eneo hilo.... ni sample halisi ya Watanzania wengi... wakiwemo tuliowapa Mamlaka