Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

Kila mtu anahaki ya kutoa maoni na kila mtu ana haki ya kuchagua. Lakini siyo kila mtu ana uwezo wa kutoa maoni ya maana, hali kadhalika siyo kila mtu ana uwezo wa kupiga kura hasa zile za kuwapata viongozi wa kisiasa.
Uwezo upi wa kupiga kura? Kila mtu anatakiwa kupiga kura labda mgonjwa na kwa wenzetu kupiga usipopiga kura waweza kukosa baadhi ya huduma ni kama ilivyo NIDA na Kitambulisho cha kura TZ
 
Nimecheka sana kama mzuri

Jamaa bila haya anatamani umeme uanze kukatika mwaka ambao yeye atakuwa kafa
 
CCM hufururahia sananmadankama.hizi !! Yani kwao ni utajiri mkubwa
 
Kuna mmojq alitaka Viongozi wa serikali za vyuo vikuu walipwe na PAYROLL ya Serikali πŸ˜…
 
Hakuna excuse katika hili mkuu,hao watu wametawaliwa na ujinga sana angalau wakija huku wanabadilika. Watanganyika kun ujinga ila hao wamezidi.
Mwinyi kule hana pressure hata kidogoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakupanga dira ya maendeleo ni nani? Hawa kina Mwigulu na Samia wakiwa waongoza jahazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…