sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Uwezo upi wa kupiga kura? Kila mtu anatakiwa kupiga kura labda mgonjwa na kwa wenzetu kupiga usipopiga kura waweza kukosa baadhi ya huduma ni kama ilivyo NIDA na Kitambulisho cha kura TZKila mtu anahaki ya kutoa maoni na kila mtu ana haki ya kuchagua. Lakini siyo kila mtu ana uwezo wa kutoa maoni ya maana, hali kadhalika siyo kila mtu ana uwezo wa kupiga kura hasa zile za kuwapata viongozi wa kisiasa.