Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita

Hili andiko la kipumbaf kabisa sijapata kuona..wananchi tunasemaa hata mfanyeje, whether awamu imeshindwa au imeshinda, whatever the case you may say, asilimia zaidi ya 90 ipo nyuma ya Magufuli na serikali yake .Tena Basi tunafikiria kumuongezea miaka zaidi ya kutawala hata akimaliza miaka yake mwingine mitano..Sasa Kama umekosa fursa ya hata kibarua nenda kalime jomba, ukishindwa zaidi Hama nchi..tafuta nchi ya kuishi maana kwa utawala huu utapata tabu Sana..mlishazoea madili, wizi, ufisadi Sasa mmekwama
 
Katika time huru hawawezi kushinda Ila wanashinda kwa magori ya mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu angalau kwa sasa unaweza kutoa maoni,enzi zetu haikuwa hivyo.Lakini shilling yetu haitelemki ipo ngangali kwa miaka mitano tofauti na huko nyuma
Fala kweli wewe Jk. kaacha tzsh to usd. 1650. Huyu mtu wenu anaye mlamba miguu na makalio kaishusha mpaka 2400 alafu unamsifia mwanaharamu wewe
 
Sijui tukusaidiaje jomba, naona umekaririshwa kabisa..hivi umeshawahi kufanya analysis kwa unayoyasema...Mungu akusamehe Sana.
 
Watu wote hatuwezi kuwa na maono sawa sababu wengine wana ubongo na wengine vichwa vyao vimejaa makamasi kama mfano wa ubongo. Tunao ona madudu haya tuendelee kuona na wasiona wasione.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fala kweli wewe Jk. kaacha tzsh to usd. 1650. Huyu mtu wenu anaye mlamba miguu na makalio kaishusha mpaka 2400 alafu unamsifia mwanaharamu wewe
Wewe ni mpumbavu,wa kiwango kikubwa sana,akili ndogo kama ameoba,huna memory.mvivu wa kufikiri.
Kwa taarifa yako shilling iko vile vile haishuki haipandi.kilaza mkubwa wee.
 
Sijui tukusaidiaje jomba, naona umekaririshwa kabisa..hivi umeshawahi kufanya analysis kwa unayoyasema...Mungu akusamehe Sana.
Nimekalilishwa Nini mzee . Mbona ndio mambo yanayoonekana hayo au. Naona povu linakutoka muunga mkono Juhudi.

Tetea kwa hoja usikimbile kusema nimekalilishwa. Leta hoja .
Ajira hakuna tokea 2015,
Wakakimbilia jeshini nako wakatemwa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli CHADEMA tunyamaze sasa,, tunakinywea kikombe tulichokitamani Siku nyingi nyoko sisi! Au tumesahau tuliposema Kikwete ni dhaifu?
 
Dr. wa ukweli au kama manyau nyau?
 
Huu utawala umevurugika kisawasawa,hawana tena ushawishi wowote.Wanalazimisha hata kupendwa na kusifiwa/kujisifu kutwa/kucha.
Tusipodai Katiba ya Wananchi tusilalamike tutakapouzwa jumla.Viongozi wamepoteza focus, vision and motive to lead,they have nothing to loose.We are the one to suffer.
 
Wewe ni mpumbavu,wa kiwango kikubwa sana,akili ndogo kama ameoba,huna memory.mvivu wa kufikiri.
Kwa taarifa yako shilling iko vile vile haishuki haipandi.kilaza mkubwa wee.
Bado unaendelea kulamba miguu na makalio 2015 exchange rate ilikuwa kati ya 1650 mpaka 1700tzsh nenda kaulizie exchange rate leo au Ingia Google update jibu mpumbavu wewe usifananishe jamii forum na vijiwe vya kahawa ,mwanaharamu kabisa
 
Si wewe Wala huyo jamaa ni wote mnasema uwongo na sijui ni Kwa faida ya Nani sasa!!
 
Bado unaendelea kulamba miguu na makalio 2015 exchange rate ilikuwa kati ya 1650 mpaka 1700tzsh nenda kaulizie exchange rate leo au Ingia Google update jibu mpumbavu wewe usifananishe jamii forum na vijiwe vya kahawa ,mwanaharamu kabisa
Your dead dumb.It seems your looking alternative fact.which is damn lies.
 
Tume imetajwa kuwa huru,ila kwa mwenendo wake tunaouona kipindi cha uchaguzi inasikitisha, ni kwanini isiwe huru na wote tuone ni huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…