Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Wewe mmoja tu unaiona sio huru ila watu mil 55+ wanaionaa iko huru.Tume imetajwa kuwa huru,ila kwa mwenendo wake tunaouona kipindi cha uchaguzi inasikitisha, ni kwanini isiwe huru na wote tuone ni huru?
Ziko sababu lukuki za kuonesha namna awamu hii ilivyofeli
1. Ikumbukwe walipoingia madarakani walituaminisha masuala ya wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa wakatuambia na kiasi walichookoa na wakaendelea kutuaminisha awamu zilizopita zilikusanya kidogo embu tuone kuna ukweli.
(A) Awamu iliyopita hawakuchukua vyanzo vyama halmashauri, kwa wa machinga pia hawakuchukua sekta binafsi ndio ilikuwa injini sasa awamu hiii imechukua vyanzo vyote vya halimashauri lakini inaongoza kwa kukopa tena nje ya utaratibu Leo tycoon akitaka hata ajengewe sanamu yake pale chamwino DODOMA hahitaji baraka za bunge
(B) Mahakama kuwa karibu na serikali hasa kwenye kesi zinazokiuka haki rejea kesi ya Godbless Lema kesi ya viongozi wa chadema ama kesi iliyosomwa jana ya Mike Mushi na Melo nyuma ya hizi hukumu kuna mkono shinikizi kupitia mfumo
2. Hii ndio awamu inayooongoza kwa vitendo vya kikandamizaji tena hawajali rejea mauaji ya Kibiti ama kupotea kwa watu mbalimbali yu wapi msaadizi wa Freeman Mbowe ndugu Ben Rabiu Saanane wapi alipo Simoni Kanguye wapi alipo Azori Gwanda haya yote yanaonesha jinsi awamu hii ilivyoshindwa kulinda ustawi wa jamii
3. Kushambuliwa kiongozi wa upinzani mh Tundu Athipas Lissu katikati ya vipindi vya bunge na kuvuliwa ubunge kinyume cha sheria na pia kukosa hata kumnyima stahiki yake ya matibabu
Yote kwa yote hiii ndio awamu imeshindwa kuajiri kwa miaka zaidi ya minne imeshindwa kupunguza tatizo la ajira imepelekea vijana wengi kushiriki betting kwa kikukosa ajira
Mwisho huu ni mwaka wa uchaguzi ni lazima umma tukarejeshe utu uwajibikaji wa umma na demokrasia ishamiri tena kupitia sanduku la kura hiii ndo fimbo ya mnyonge ya kutetea utu wetu
#stayhome
#tunatakatumehuru
[emoji111]️
Sent using Jamii Forums mobile app
Historical Rates for the USD/TZS currency conversion on 15 June 2015 (15/06/2015).Bado unaendelea kulamba miguu na makalio 2015 exchange rate ilikuwa kati ya 1650 mpaka 1700tzsh nenda kaulizie exchange rate leo au Ingia Google update jibu mpumbavu wewe usifananishe jamii forum na vijiwe vya kahawa ,mwanaharamu kabisa
Hata akitelemsha jua kama anaonea wachache ni kasoro kubwa, ni bora asiyefanya ila watu wakawa na huhakika na kesho yake,na uhuru, kuheshimiwa kuto onewa, watu udai uhuru ili tu wapate kujiamulia mambo yao kwa haki, sasa kama tumepata uhuru alafutu tunapigania haki ya kujiamulia mambo kwa haki hii si sawaHaya yameshakuwa kama mapambio. Je jukwaani mtaongealea nini? Kwamba mnaweza kupewa dola? Na mkipewa mtajenga Sgr,Mradi kama JNHP, ubungo interchange Zahanati,Shule,mahospital n.k
Jiulizeni tu je mnaweza kuaminiwa na wananchi?
Mwenzeni miaka minne tu kaonyesha mambo makubwa.
Wazee walisema malipo ni hapahapa Duniani, tutahumia kwa kipindi lakini things willget better with time.Ziko sababu lukuki za kuonesha namna awamu hii ilivyofeli
1. Ikumbukwe walipoingia madarakani walituaminisha masuala ya wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa wakatuambia na kiasi walichookoa na wakaendelea kutuaminisha awamu zilizopita zilikusanya kidogo embu tuone kuna ukweli.
(A) Awamu iliyopita hawakuchukua vyanzo vyama halmashauri, kwa wa machinga pia hawakuchukua sekta binafsi ndio ilikuwa injini sasa awamu hiii imechukua vyanzo vyote vya halimashauri lakini inaongoza kwa kukopa tena nje ya utaratibu Leo tycoon akitaka hata ajengewe sanamu yake pale chamwino DODOMA hahitaji baraka za bunge
(B) Mahakama kuwa karibu na serikali hasa kwenye kesi zinazokiuka haki rejea kesi ya Godbless Lema kesi ya viongozi wa chadema ama kesi iliyosomwa jana ya Mike Mushi na Melo nyuma ya hizi hukumu kuna mkono shinikizi kupitia mfumo
2. Hii ndio awamu inayooongoza kwa vitendo vya kikandamizaji tena hawajali rejea mauaji ya Kibiti ama kupotea kwa watu mbalimbali yu wapi msaadizi wa Freeman Mbowe ndugu Ben Rabiu Saanane wapi alipo Simoni Kanguye wapi alipo Azori Gwanda haya yote yanaonesha jinsi awamu hii ilivyoshindwa kulinda ustawi wa jamii
3. Kushambuliwa kiongozi wa upinzani mh Tundu Athipas Lissu katikati ya vipindi vya bunge na kuvuliwa ubunge kinyume cha sheria na pia kukosa hata kumnyima stahiki yake ya matibabu
Yote kwa yote hiii ndio awamu imeshindwa kuajiri kwa miaka zaidi ya minne imeshindwa kupunguza tatizo la ajira imepelekea vijana wengi kushiriki betting kwa kikukosa ajira
Mwisho huu ni mwaka wa uchaguzi ni lazima umma tukarejeshe utu uwajibikaji wa umma na demokrasia ishamiri tena kupitia sanduku la kura hiii ndo fimbo ya mnyonge ya kutetea utu wetu
#stayhome
#tunatakatumehuru
[emoji111]️
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara zinakufa kwakutumia sera za majukwaani huwezi kupanga namna ya kukuza biashara kwa sera za majukwaani na zile ambazo zinatumia sera mpya kwa sheria za zamani 'you can not plan a business growth with policy uncertanity 'Ameanzisha mamiradi yanayoitwa WHITE ELEPHANT; ile SGR na Stiglers Gorge. Hii miradi inakula fedha nyingi, itachukua muda mrefu kukamilika na hawezi kuleta FAIDA hata ikikamilika.
Amehamishia Serikali Dodoma lakini muda wote viongozi wanaingoza wakitokea DSM. Wnakwendaga Dodoma karibu na kikao vya Bunge ili kuwatisha wabunge wa CCM kwenye party caucuss.
Awamu ya 5 imerudisha maendeleo nyuma kwa miaka 50 kama alivyosema Jenerali Ulimwengu. Tulikosea sana mwaka 2015, hasa KIKWETE kwa kumg'ang'ania BENARD MEMBE ndipo tukaangukia kwenye AJALI hii.
Halafu wafanya biashara wakubwa aidha wanauliwa kama akina Ally Mufuruki na Salum Shamte, au wanasumbuliwa na kunyang'anywa mali zao kama Mohamed Dewji na Yusuf Manji. Uchumi inakuwaje hapo?Biashara zinakufa kwakutumia sera za majukwaani huwezi kupanga namna ya kukuza biashara kwa sera za majukwaani na zile ambazo zinatumia sera mpya kwa sheria za zamani 'you can not plan a business growth with policy uncertanity '
Hapo ni tatizo kubwa sana ambalo linahitaji mjadala wa kitaifa kama huwa unakuwepo swali fikirishi nani atamfunga paka kengere?Halafu wafanya biashara wakubwa aidha wanauliwa kama akina Ally Mufuruki na Salum Shamte, au wanasumbuliwa na kunyang'anywa mali zao kama Mohamed Dewji na Yusuf Manji. Uchumi inakuwaje hapo?
Vitu vidogo sana hivyo vinaweza Fanywa ma meya, vyote hivyo hakuna alilofanikisha kwa100%Lack of sense? Yaani kisa amedhibiti wala rushwa na wabadhirifu? Kisa anajenga Sgr,Daraja la wami na busisi? Kisa amenunua ndege kwa hela cash Dremliner na midege ya Airbus. Kajenga hospital ,vituo vya afya na zahanati lukuki. Mlitaka raisi gani? Au ndio upungufu wa akili!
Mengi, ndesamburoHalafu wafanya biashara wakubwa aidha wanauliwa kama akina Ally Mufuruki na Salum Shamte, au wanasumbuliwa na kunyang'anywa mali zao kama Mohamed Dewji na Yusuf Manji. Uchumi inakuwaje hapo?
Awamu hii imezalisha wanafiki wengiHapa Pascal Mayalla haonekani lakini anasifia uzalendo ,kwenye mijadala ya CAG hayupo ila anasema ccm chama Bora.
Hata shetani ana wafuasiHili andiko la kipumbaf kabisa sijapata kuona..wananchi tunasemaa hata mfanyeje, whether awamu imeshindwa au imeshinda, whatever the case you may say, asilimia zaidi ya 90 ipo nyuma ya Magufuli na serikali yake .Tena Basi tunafikiria kumuongezea miaka zaidi ya kutawala hata akimaliza miaka yake mwingine mitano..Sasa Kama umekosa fursa ya hata kibarua nenda kalime jomba, ukishindwa zaidi Hama nchi..tafuta nchi ya kuishi maana kwa utawala huu utapata tabu Sana..mlishazoea madili, wizi, ufisadi Sasa mmekwama
Wala haituhusu, uhalisia ndio huo Sasa ueleweHata shetani ana wafuasi
Miaka mitano ? Hebu ona aibu mtu kazi imeshamshinda.Miaka mitano ni kidogo mno kumhukumu Raisi Magufuli
Sisi tulimwona Mwl.Nyerere,Mwinyi,Mkapa Kikwete hadi Magu.
Lakini Mwl.Nyerere Aliumiza watu wengi sana na sera ya vijiji vya ujamaa bila maandalizi iliyopelekea kushuka sana kwa mazao ya chakula kwa kipindi kirefu.
Watu waliburuzwa kutoka makazi yao wakarundikwa kama viazi bila nyumba wala chakula porini,wengine wakaliwa wanyama wakati.Nilitegemea kwa watawala waliopita kutuomba msamaha kwa hiyo sera mfu ya vijiji vya ujamaa.
Japo tulikuwa na ardhi yenye rutuba na ya kutosha lakini tuliishi kwa chakula cha msaada "Yanga" kwa kipindi kirefu hadi alipokuja Raisi Mwinyi na sera yake maarufu RUKSA.
Ukifanya tafiti ya hasara aliotuletea Nyerere kwa sera zake za kukurupuka wala Magufuli hawezi kamwe kumfikia.
Wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa na uhuru wa kupata habari haukuwepo kama sasa.
Hata vita ya Kagera ilizaliwa kwa sababu ya urafiki wa watu wawili.Nyerere na Obote.Laiti Raisi Nyerere angesikiliza mawazo ya Majenerali wake na kuwa neutral kama Kenya,tungeepuka vita vya kibanda hasara,shilling yetu ingekuwa na nguvu sawa sawa kama ya Kenya.
That's rubbish..how many businesses have grown up during this period..plenty..how many new businesses have been erected..plenty..there's nothing like policy uncertainity. Many business owners have been avoiding Taxes, and thiss why they could not manage to be sustainable..we know the tricky behind and you know too..so stop this rubbish propaganda...Biashara zinakufa kwakutumia sera za majukwaani huwezi kupanga namna ya kukuza biashara kwa sera za majukwaani na zile ambazo zinatumia sera mpya kwa sheria za zamani 'you can not plan a business growth with policy uncertanity '
Wewe unafikiri bipolar disorder ni ugonjwa mzuri.Hata mimi mkuu, huyu ni Rais wa hovyo kupindukia, haijawahi kutokea naamini haitatokea tena
Sent using Jamii Forums mobile app