The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kwann zuchu na WCB peke Yao wakat Kuna maua sama,nandy,alikiba, harmonize na wengine wengi. Kuna ki2 kipo tofauti na hizi itikadi za vyama.Wewe mtoto,wewe mtoto,wewe mtoto....nimekuita mara tatu itika.Kumbuka kupotea kwa Ben Saanane,Azory Gwanda na wengineo.Kumbuka kupigwa risasi kwa Tundu Lissu,kumbuka manyanyaso kwa watumishi wa umma na Wazee wastaafu,kumbuka manyanyaso kwa wakulima na wafanyabiashara.Nafahamu wewe ni mnufaika na uwepo wa ccm so,haupo kwenye kundi lolote kati ya hayo niliyoyataja lkn,Zuchu ameungana na watesi na wauaji wa jamii yake hastahili kutendewa wema hata kidogo!
Ndio ilivyo kwani hawajaona wasanii wengine tofauti na WCB?unayepingana nae kashakukalisha kwa hoja kabisa, muda si mrefu mlisema Zuchu hana mashabiki Bali wote wanaomkubali Zuchu ni mashabiki wa wcb, mm nimeelewa mchezo wenu mnapitia mgongo wa siasa kuzisema chuki zenu dhidi ya WCB na mioyoni mwenu nyie ni watu wamateam tu.
Mimi ni Ccm ndio lakini sikakubali hako kademuKumbe nilikuwa na argue na 'pimbi' tu ambaye amejaa 'mahaba' na upuuzi wa wasanii uchwara'.
Take a[emoji1617]for a while until u get rid off ure blurr conscious
Huko Twitter kuna Link imewekwa ya Tuzo za AFRIMA jamaa wana vote wasanii wa nchi yoyote ile hata ambao hawajawahi kiwasikia ili tu wasimpigie Diamond/Zuchu na wanaweka screenshot za walicho vote.Hawezi shinda
Usiwadharau watz wa mtandaoni wa nguvu Sana kwenye hii sekta Yao
Bila watz wa mtandao Mondi angekuwa anakula unga saivi Tandale .
So huyo zuchu atatamba hapa hapa mavumbini .
Hahahahahahahahah Na badoHuko Twitter kuna Link imewekwa ya Tuzo za AFRIMA jamaa wana vote wasanii wa nchi yoyote ile hata ambao hawajawahi kiwasikia ili tu wasimpigie Diamond/Zuchu na wanaweka screenshot za walicho vote.
Noma sana
Kwaiyo watz wa mtandaon ndio voters wa grammy sio? ,[emoji16]Hawezi shinda
Usiwadharau watz wa mtandaoni wa nguvu Sana kwenye hii sekta Yao
Bila watz wa mtandao Mondi angekuwa anakula unga saivi Tandale .
So huyo zuchu atatamba hapa hapa mavumbini .
Kwani Grammy inapigiwa kura wa lumumbaKwaiyo watz wa mtandaon ndio voters wa grammy sio? ,[emoji16]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kupiga kura grammy sio kila mtu anapga mzee...sasa hao wa mtandaon weng hawana hata criteria za GrammyKwani Grammy inapigiwa kura wa lumumba
Nimewaulza hili swali hawajajib mpka sasa...Hivi ni msanii gani wa Tanzania aliepata tunzo akiwa ni mwanachama wa Chadema?
Huna idea wakishajua Kuna kupiga kura Grammy link itatafutwa na kura itapigwa .Kupiga kura grammy sio kila mtu anapga mzee...sasa hao wa mtandaon weng hawana hata criteria za Grammy
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kwaiyo wakishapata link ndio zuchu atashindwa sio? Na ccm ndio itakua imekomolewa? Mda ni jibu sahihi... utafuta hii commentHuna idea wakishajua Kuna kupiga kura Grammy link itatafutwa na kura itapigwa .
Next time wajipange
Kwani na watu pia siwameamua kutompigia kura kwa mapenzi yao wenyewe?Me nashangaa mtu na akili zako unamchukia Msanii kisa ka perfome kwenye kampeni za CCM.
Above yote, yule pia ni mtu na ana haki ya kuwa mfuasi wa chama chochote anachokitaka kama wewe ulivyo chagua chama chako.
Upande wa Mziki unabaki vile vile, hizo ni Chuki na wivu tuu..
Hatuwezi. Mengine ya nini?Hahahahah
Kalikuwa huko jukwaani kanasema etj wataweza kweli?
Acha sasa polepole ampe kura