Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Ni mawazo yako lkn.
 
😂😂😂😂😂 Watu wanajifanya kuwachukia afu bado wamewafollow bila shuruti, hii haileti sense kabisa 😂. Kabla haujacomment upuuzi Kama huo unatakiwa kuniuliza, zile tuzo zote alizowahi kushinda dai huko nyuma alizipata akiwa CHADEMA? Au ndo mnataka tuamini kwamba Wasanii watz wameanza kuwa upande wa CCM uchaguzi huu?

Yani msanii aache kufata dili la hela, eti kisa atawakasirisha jobless fulani mitandaoni? Kwamba asingeenda huko ndo mngempelekea hela mikononi Kama mnavyoaminishwa na viongozi wenu uchwara? Hela inatafutwa acheni ujinga😂😂. Watu wajinga kweli.

NB:Mmeombwa kupiga kura, hamjalazimishwa, k*ng* nyie.
 
Hamna mtu aliye shikiwa risasi kumpigia kura,ukitaka piga husipotaka acha.

Huu ulimwengu wa Demokrasia kila mtu ana choice yake Zuchu choice yake CCM,so husipo mpigia still umetumia haki yako ya kidemokrasia.

Hongera Zuchu.
 
Mtu anatoa mfano wa wasanii wa Nigeria kuwa wanashiriki maandamano ya kuwatoa SARS....na kuwa wasanii wa hapa hawafanyi hivyo...

Jibu ni simple tu...je wewe unayemtuhumu msanii kutokushiriki demonstrations...ni lini tumekuona mtaani ukihamasisha maandamano against the government?

Yaani wewe mwenyewe huthubutu kwenda barabarani kuandamana...halafu unataka msanii aende kwa niaba yako kwa vile yeye ni kioo ha jamii?

Wasanii wakiamua kuwapigia kampeni CCM ni uamuzi wao...wana exercise uhuru wao wa kuchagua. Ni sawa na mtu anapoamua kuwa mpinzani...ni uamuzi wake. Maana si lazima watanzania wote wawe na mtizamo fulani kisiasa.
 
Sisi waTanzania wazalendo hatutaki Tuzo za mabeberu......😄😄😄
 
Sio tunawachukia kisa wapo CCM hapana kisa wapo hawatetei wanyonge
 
Siwezi kumpigia kura msanii anatubeza na hali ngumu ya mtaani tunayopitia. Akapigiwe na Polepole.
 
mawazo mgando au bangi za saa saba mchana
 
Kwani kakulazimisha umpigie kura au yeye kaomba kwa wanaotaka kumpigia kura?
Kwahiyo na wewe amekwambia nani na nani anataka wampigie kasema watanzania..au sisi ni wakongo?
Nyie chawa ndo mnamharibia msanii akose kura

Na kura sipigi unatakaje chawa mna kazi ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…