inasemekana anapita mtaani anjiuza kwa 20,000 ,unajua kuna hata fununu marehemu langa alifikia hatua hiyo,na mwisho wa siku mateja wengi wanageuzwa wa kike au wa kiume,kwenye hiyo video ukiangalia vizuri,jamaa linampigampiga mgongoni sijui ni utani au vipi lakini kama wanataja bei,maana huyo demu anasema FORTY????nando anaona aibu sijui anataka kulia anainamisha kichwa chini
Mateja wengi huwa wanafanya kazi ngumu za mtaani
Wengine wanaokota makopo.
Wengine wanazoa taka,wanapiga debe nk
Sasa hao wanaojiuza labda wale mabishoo walioishiwa na hawawezi kufanya kazi ndio wanatumia mechanisms hyo
Ila mateja wengi wezi wa usiku na wanafanya kazi dhalili ,lkn huwa wanapiga kazi sana
Mfano huku kitaa kuna mateja wanapiga kazi balaa ,kuna teja mmoja alikuwa anasema yeye matumizi yake kwa siku 20,000 au 15000 na kweli unamwona anacharika kazi zote mtaani wanapewa mateja
Kama kafikia hatua ya kujiuza dah noma sana na jinsi anavyoonekana hawezi kufanya kazi,kukaba hawezi anaishia ku omba omba lzm agawe arosto mbaya
Ray c ilikuwa unampelekea kete unamkaza ,watoto wa kkoo walimfaidi sana
Ila huyu kama kafikia hatua ya kugawa ,kweli hajiwezi na asikuambie mtu mateja wana matumizi makubwa ya pesa ..kete 3000 labda ipande saizi ,..kwa siku kete 4 =12000 bado msosi,rizla ,sigara nk na hizo kete 4 zinaweza zisitoshe kwa siku