Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Funzo kwa wengne
 
Tatzo wanakula makap ya unga alaf hawajui kujtunza Rio anakula unga kama nyoka lakn yupo vzr tu
Mkuu kila siku tunasema humu ngada halina kujitunza kuna watu walikuwa na hela kama Whitney Houston au Boby brown lakini wote hao ngada limewapoteza ingawa brown. Vijana tuachane na starehe za vitu ambavyo athari zake ni mbaya sana full stop.
 
Sahihi kabisa, hasa mazoea clubs/bar na watu usiowafahamu vzr ni hatari..ogopa vya kupewa/kununuliwa clubs...
 
Majanga kwa kweli mpaka inatia huruma sooooooo sad ooooh ma God
 
Inamaana serikali ya JPM imeshindwa kabisa kupambana na wauza madawa ya kulevya?

Inamaana Tanzania kuna wanapozalisha haya madawa au yanatoka nje ya nchi??

Kama yanatoka nje ya nchi yanapitia wapi kuingia nchini??

Serikali ya awamu ya tano iache "kutuigizia" ipambane na vitu kama hivi vinavyoharibu vijana wetu!
 
Nobody said it better than Moe tech
  1. Sio ganja ni powder ndiyo iliyomharibu(stories Tatu)
  2. Wambie waache unga wale mmea (hiphop bila madawa)
Japo sidhani kama maneno yalikuwa exactly hivyo
Amani kwa kaka voda waambie wadogo zako waache unga wale mmea- Song kimbia artist Babuu wa kitaa
 
aman kwa Kama voda...waambie wadogo zako waache poda wale mmea...[HASHTAG]#jay[/HASHTAG] mo#
"Amani kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea"- Babuu wa kitaa

Langa (R.I.P) akajibu "Amani kwa kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache ushoga na umbea"
 
Pole sana ila wanaomuuzia mnawajua
 
Wao waendelee tu kubwia maana hakuna namna.
 
Tunazidi kuwapoteza vijana wengi kwa kasi ya ajabu mno na hili ni janga la dunia
 
Hehehe tusipeleke wanetu hapo jamani kuna mapepo[emoji14]
 
Dah hii kitu balaa uhend some wote kwishinei eee mungu tunusuru watoto wako na janga hili
 
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
[HASHTAG]#mwaka[/HASHTAG] huu au mwaka jana maana post yako ni ya 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…