kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Bhasi Mo tech angekuwa tajiri kakamuulize huyo muimbaji uliyemtaja amsterdam na tokyo alikuwa anapelekaga nini tumboni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhasi Mo tech angekuwa tajiri kakamuulize huyo muimbaji uliyemtaja amsterdam na tokyo alikuwa anapelekaga nini tumboni?
Wyne ni ganja na pombe ndiyo vinamharibuLil Wayne aliulizwa unatumia kokeini akajibu hapana naogopa.
nitajie punda tajiri mjini,zaidi ya vi altezaa na byumba za kupanga zenye flat screen ndani,ulidhani wanalipwaga ngapi kwani?Bhasi Mo tech angekuwa tajiri kaka
Funzo kwa wengneHii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.
Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi ya Chiddy Benzino.
Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.
Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.
View attachment 453137
Mkuu kila siku tunasema humu ngada halina kujitunza kuna watu walikuwa na hela kama Whitney Houston au Boby brown lakini wote hao ngada limewapoteza ingawa brown. Vijana tuachane na starehe za vitu ambavyo athari zake ni mbaya sana full stop.Tatzo wanakula makap ya unga alaf hawajui kujtunza Rio anakula unga kama nyoka lakn yupo vzr tu
Sahihi kabisa, hasa mazoea clubs/bar na watu usiowafahamu vzr ni hatari..ogopa vya kupewa/kununuliwa clubs...Inasemekana wanachanganyiwa bila wao kujua hasa wakishagundulika wanao uwezo wa kununua madawa hayo. Pia kuwa makini na aina ya vyakula au bites, watafuta wateja wanatumia sana kuongeza wateja. Mfano wanaweza kutarget mtoto wa familia yenye uwezo kwa kumlengesha ubuyuwenye unga. Watu wabaya wale!!!
Amani kwa kaka voda waambie wadogo zako waache unga wale mmea- Song kimbia artist Babuu wa kitaaNobody said it better than Moe tech
Japo sidhani kama maneno yalikuwa exactly hivyo
- Sio ganja ni powder ndiyo iliyomharibu(stories Tatu)
- Wambie waache unga wale mmea (hiphop bila madawa)
"Amani kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea"- Babuu wa kitaaaman kwa Kama voda...waambie wadogo zako waache poda wale mmea...[HASHTAG]#jay[/HASHTAG] mo#
Amir alianzia huko huko kwenye ugoroDuuuuh ugoro tena
Pole sana ila wanaomuuzia mnawajuaThis guy namjua sana tena sana,nimekua nae street moja Mikocheni.
He was innocent,charming guy plus good football player,nakumbuka tulikua tunacheza wote mpira shule ya msingi Mikocheni B.
Wengi wanamjua kwa jina la NANDO (Hapa sitoweka jina lake halisi).
Mama'ake mzazi yupo Marekani na wakati anaenda Big Brother Africa alikua uko USA as a model katika kampun flani hv baada ya mama'ake mzazi kumfanyia mchongo.
(Alimaliza Four4 Neema Trust High School)
Back to wat happened to him.
Mid in 2013 nilikutana nae Rose Garden (as we're gud friends aiseee) wakat amerud toka BBA (mnakumbuka ni nin alifanya uko mpaka akatolewa ila mchongo sisi watu wa karibu tulijua kabisa yeye ndo anashinda maana tayari tulipaswa kwenda South Africa kwaajili ya party yake)
Akanibom siku iyo apo Rose Garden kuku mzima ale,nikampa pesa elfu34 maana ni mwanangu kabisa tumeshibana.
Nikasepa. Nikazunguka na mizunguko yangu narud eneo ilo tena nikamkuta (imagine akanibom tena lakin wakat huu tayari amelewa na madawa na hakumbuki kama tulionana,nikampa buku5 ingawa nilionywa nisimpe)
Sisi watu wakaribu tunawalaumu familia yake ya pale Mikocheni.
Back in 2015 juz juz tu nikakutana nae tena ila this time around it was worse aiseeee. Imagine nakutana nae,hanijui kwa jina ila sura anakumbuka. Anaomba kiroba namnunulia bia ila hatak kuichukua anasema niiache atakunywa baadae ila ukitoka anabadilishiwa anapewa UNGA.
Mikocheni,kino,magomen na Msasani ni sehem mbaya kwa vijana wa mambo ya UNGA.
NAUMIA SANA KUMUONA JAMAA HIVI ILA SINA LAKUFANYA.
NAUMIA GUYS TRUST ME
CT yeye anatumia siku hizi????embu angalia hii video ya Amir maskini ya mungu,dauh
Ronja ni fununu au tetesi au habari zisizothibitishwa hili neno ni msimu ambao hutumika katika muktadha au mazingira ya kambini hususani jeshini jkt jwtz etcRonja ni nini. ?
Na huyo kwenye Avatar ni wewe. ?
Tunazidi kuwapoteza vijana wengi kwa kasi ya ajabu mno na hili ni janga la duniaHii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.
Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi ya Chiddy Benzino.
Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.
Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.
View attachment 453137
Hehehe tusipeleke wanetu hapo jamani kuna mapepo[emoji14]Daah afu class yao ya Neema Trust Secondary wameharibika sana, Amir alisoma form five NTSS siyo form four class ya kina godzilla, Kaloosh(R.I.P), Ham Lundenga, alikuwa anakipaji cha mpira nakumbuka alikuwa mmoja wa wachezaji tegemezi sana. Ni kweli akishatumia maunga yake anasahau majina hata muwe washkaji vipi, starehe zimewaharibu sana madogo kwa hiyo shule kuna kama wanne wapo rehab, mashoga na wasagaji
Huyo kaka voda ni nani?"Amani kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea"- Babuu wa kitaa
Langa (R.I.P) akajibu "Amani kwa kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache ushoga na umbea"
[HASHTAG]#mwaka[/HASHTAG] huu au mwaka jana maana post yako ni ya 2017Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni