KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hapo mwisho pamenifanya nicheke!Kule italy,,kuna padri alikuwa kwenye ventilator,,akamwona kijana mmoja kaletwa yuko hoi,amekosa ventilator,,padri ilibii aombe wamtoe kwenye mashine,wamwekee kijana,,juu yeye ameshaishi miaka mingi,akaona bora kijana apate fighting chance kuliko kumuacha afe angali bado mdogo,
Padri akafa
Kwa mujibu wa viongozi wa nchi hii ,Corona na matatizo ya kupumua ni majonjwa mawili tofautiCorona inasababisha matatizo ya upumuaji mkuu,kwahiyo ukijikinga na corona automatically unajikinga na upumuaji.
Mkuu punguza ukali wa maneno.The only thing that will save lives from this disease is to stick our asses at home. But the problem comes Black asses are not adhesive at all!
Watu hawatulii ndani.. mie wik iliyopita ilikuw wiki nzito sana... Mguu nje mguu ndan nimekonda ghaflaThe only thing that will save lives from this disease is to stick our asses at home. But the problem comes Black asses are not adhesive at all!
Si kweli
Kuna ambao hata geti la Regency hawawezi kuingia maana hawatamudu hata Registration fee tu achilia mbali huduma.Huko tuendako hakutakuwa na SIRI tena!Hadi pale tutakapoipigia saluti COVID na kukubali miongozo ya kidunia badala ya kushabikia nyungu na malimao+pilipili+tangawizi etc.It's as if duniani kote hivyo vitu havipo.Vilevile kama hizo ni TIBA/kinga,kwa nini hatuithibitishii dunia ili nao wapone kama sisi?Mzee Ntagazwa alikosa kitanda Regency
Umeandika kwa uchungu sana !Kuna ambao hata geti la Regency hawawezi kuingia maana hawatamudu hata Registration fee tu achilia mbali huduma.Huko tuendako hakutakuwa na SIRI tena!Hadi pale tutakapoipigia saluti COVID na kukubali miongozo ya kidunia badala ya kushabikia nyungu na malimao+pilipili+tangawizi etc.It's as if duniani kote hivyo vitu havipo.Vilevile kama hizo ni TIBA/kinga,kwa nini hatuithibitishii dunia ili nao wapone kama sisi?
Je,ni hiyo Ubinafsi,uchoyo na kukosa upendo dhidi ya binadamu wenzetu?
Tunaogopa chanjo ya CORONA ila pilipili kichaa tunakunywa tds,nani katuambia ni salama?Tujitafakari.
Takwimu zingesaidia sana watu kuona ukubwa na uzito wa tatizo. Hakika mtu aliyezuia upimaji na utoaji wa takwimu ni muuji kama corona yenyewe.Wewe unaendeleza yaleyale ya kuwaweka waTanzania gizani.
Kwa nini huhimizi watu wapimwe na pawe na takwimu kuhusu huu ugonjwa wa mlipuko, ikiwa kama sehemu ya kampeni ya kuelimisha na kujikinga!
Huko kuficha kunamsaidia nani, huyo aliyekana uwepo wa ugonjwa?
Unaambiwa sasa hivi vigogo wengi wanaopata changamoto ya kupumua wanapelekwa Hospitali Moja iko Upanga inaitwa HITECH SAI , ni balaa ! wasio na macho matatu wanajua wanapelekwa Muhimbili , lakini huko Mwaisela hawafikiBy Boniface Jacob kupitia Twitter:
Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.
Sikuwahi Kujua Ipo Siku Sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA
Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
Sasa hivi mataifa yote ambayo yana viongozi wenye akili na hekima, viongozi waliowekeza katika kutambua ukubwa wa tatizo, na kuweka jitihada katika kupambana, vifo vinazidi kupungua na maambukizi yanazidi kupungua. Lakini sisi tulio na uongozi usio na maono, maambukizi na vifo vinaongezeka.TAJA SERIKALI YOYOTE ILIYOCHANGAMKA KWENYE SUALA LA KUPAMBANA NA KORONA NA IKAFANIKISHA.
no greater love.Kule italy,,kuna padri alikuwa kwenye ventilator,,akamwona kijana mmoja kaletwa yuko hoi,amekosa ventilator,,padri ilibii aombe wamtoe kwenye mashine,wamwekee kijana,,juu yeye ameshaishi miaka mingi,akaona bora kijana apate fighting chance kuliko kumuacha afe angali bado mdogo,
Padri akafa
Nyungu na ule uji wa NIMRI ni upumbavu mtupu. Hakuna mwenye acute Covid 19 anayeweza kusaidiwa na hizo takataka.Kuna ambao hata geti la Regency hawawezi kuingia maana hawatamudu hata Registration fee tu achilia mbali huduma.Huko tuendako hakutakuwa na SIRI tena!Hadi pale tutakapoipigia saluti COVID na kukubali miongozo ya kidunia badala ya kushabikia nyungu na malimao+pilipili+tangawizi etc.It's as if duniani kote hivyo vitu havipo.Vilevile kama hizo ni TIBA/kinga,kwa nini hatuithibitishii dunia ili nao wapone kama sisi?
Je,ni hiyo Ubinafsi,uchoyo na kukosa upendo dhidi ya binadamu wenzetu?
Tunaogopa chanjo ya CORONA ila pilipili kichaa tunakunywa tds,nani katuambia ni salama?Tujitafakari.
Yuko mtaw kule Italia amepona covid ana miaka zaidi ya 100. Kwa hiyo Maalim Seif kupona covid so ajabu. Kuna watu wamezaliwa na kinga ya asili imara hadi uzeeni. Sema , ukweli uzee unapunguza kinga sana ila wapo wachache kinga ni imafa mpaka aitwo na Mola .Nadhani Ile ilikuwa Kiki tu! umri wa maalim na ingekuwa Covido now tungekuwa tunaongea mangine
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Taja mfano wa hayo mataifa yaliyopunguza na kutokomeza vivo vitokanavyo na korona.Sasa hivi mataifa yote ambayo yana viongozi wenye akili na hekima, viongozi waliowekeza katika kutambua ukubwa wa tatizo, na kuweka jitihada katika kupambana, vifo vinazidi kupungua na maambukizi yanazidi kupungua. Lakini sisi tulio na uongozi usio na maono, maambukizi na vifo vinaongezeka.
kinga ni bora usfanye masihahara yaaniBy Boniface Jacob kupitia Twitter:
Tumuombe Sana Mungu Ndugu zangu,Wiki hii nimeona Mambo ya Kutisha.
Sikuwahi Kujua Ipo Siku Sisi Binadamu tutagombea "Oxygen" wenyewe kwa Wenyewe INATISHA
Mbaya Zaidi unakuwa Upo Tayari Kumpandia "Dau" Mgonjwa asiye wako anyofolewe kwenye "Oxygen" ili awekwe Ndugu yako.UBINAFSI
Seif ni mzima buheri wa afya. Kama uilitegemea ulete breaking news imekula kwakoHivi Seif anaendeleaje?
Watawala wetu wanatembea na ventilators zao,haikosi wao ndio watakaobaki,watatuambia kuwa ni uzembe wetu tunakufa kwa kaugonjwa na futa!Uruhusiwi kusema ukweli, Nchi yetu ya chama kimoja haina Corona.
Itamponza Melo na JamiiForums ifutwe kabisa.
Acha tufe na changamoto za upumuaji, Watakao baki watasimulia huu Utawala wa kipumbavu.
LITAKE LISITAKE milele daima... Si ndio bandugu?!
Nini kuwekewa Oxygen watu wanawekwa coma (induced coma) na wanaponaHivi kuna mgonjwa wa Corona huwa anapona baada ya kuwekewa ile oxygen?
Kwa mujibu wa viongozi wa nchi hii ,Corona na matatizo ya kupumua ni majonjwa mawili tofauti