Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

Beautiful Nkosazana

Senior Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
176
Reaction score
660
Screenshot_20180421-105744.png


Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe?
 
hahaaaaaa nimejikuta nacheka kwenye msiba jmn et Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe........nasikiaga wakongo wanapenda kujichubua na kutupia so ni kama utamaduni wao
 
hahahahaaaa jamaa mbona tangu kitambo nguo zake huwa ni za ajabu ajabu kiivo ivo......mzoee tu[emoji16]
 
Back
Top Bottom