Hii ndio historia ya familia ya Sykes


Aisee
 
Afro...
Ikiwa unaona naandika vitabu na makala zisizo na manufaa kwako ucha kuzisoma usipoteze muda wako.
Lakini isemee nafsi yako kwani mimi napendwa na wengi katika ukumbi huu.

Mimi ni mwandishi sihusiki na uuzajiji wa vitabu.
Na uandishi ni usomi si biashara.

Sijui ni nini kimekughadhibisha hadi unanitolea matusi.
Jamii ya Tanzania wananufaika na kalamu yangu.

Nimehusishwa katika uandishi wa kitabu cha maisha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ("Nyerere Biograph.")
 
Unaongea maneno mengi ila hauoneshi faida ya unachokifanya kwenye jamii.
Au kupendwa na watu ndio faida?
 
Jabulani,
Umepata kuwasikia akina Manning, Humplink, Taylor, Frisch, Schneider, Lee kwa kuwataja wacgache?
Maalim, nimewahi kuwasikia wawili kati ya hao uliowataja, naona tatizo halikuwa jina bali asili ya hao akina Sykes, Nyerere alimtenga pia Kambona kwa kuwa na asili ya Malawi.

Ni kama wafuasi wa Castro walivyomtenga Che Guevara kwenye madaraka baada ya mapinduzi kwa kuwa alikuwa ana asili ya Argentina
 
Kuhusu Taylor na Frisch naomba utujuze japo machache
 
Eti kwa nini hilo jina lao la ukoo sio la kibantu, Sykes
 
Eti kwa nini hilo jina lao la ukoo sio la kibantu, Sykes
Wanaogopa kutumia jina la ukoo Mbuwane wataonekana sio wazawa, ila itoshe tu kusema kwamba tuwatambue kama waswahili, ambao ni mchanganyiko wa makabila na mataifa mbalimbali
 
Unaongea maneno mengi ila hauoneshi faida ya unachokifanya kwenye jamii.
Au kupendwa na watu ndio faida?
Afro...
Labda tungefahamiana kwanza.
Ila nashangaa nakuona kama umechukizwa na mimi.

Kitu gani kimekukasirisha katika maandishi yangu?
Mimi siongei ila naandika na wakati mwingine kufanya mihadhara katika vyuo vikuu ninapoalikwa:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Eti kwa nini hilo jina lao la ukoo sio la kibantu, Sykes
Johnny....
Kleist jina lake ni Abdallah jina hili lipo katika kaburi lake.
Schneider Plantan jina lake ni Abdillah.

Mashado Plantan jina lake ni Ramadhani.

Hayo majina ya KIjerumani ni majina ambayo Wajerumani waliwapa na kuwasajili kwa majina hayo walipozaliwa.
Ukoloni una karaha zake.


Kaburi la Kleist (Abdallah) Sykes
 
Huo ni unini tuite? Unge heshimu alicho leta mbona ni jambo jema kujua historia.
Mzee...
Kuna watu wamekasirishwa na mimi kusahihisha historia ya uhuru.
Historia ilikuwa inaeleza kuwa TANU iliundwa na Julius Nyerere.

Nilipoandika kitabu cha Abdul Sykes na kueleza kuwa Mwalimu alipokelewa na Abdul Sykes na akaikuta TANU kwa Abdul Sykes hawakupendezewa.

Ikawa historia hii imewaudhi.
 
Wanaogopa kutumia jina la ukoo Mbuwane wataonekana sio wazawa, ila itoshe tu kusema kwamba tuwatambue kama waswahili, ambao ni mchanganyiko wa makabila na mataifa mbalimbali
Jabulani,
Wakati hawa watoto wanazaliwa hapakuwa a siasa za uzawa.

Hawa wote wakijulikana kuwa ni Wazulu kutoka Mozambique na watu waliotoka nje ya Tanganyika walikuwa wengi Tanganyika wengi katika miaka ya 1950s.

Walikuwa kizazi cha pili na cha tatu.

Mimi ni Mmanyema kizazi cha nne babu yangu Mkuu Mwekapopo Samitungo yeye alikuwa kutoka Begian Congo na kaletwa na Wajerumani kama askari.

Mimi ni kizazi cha nne na kipo cha tano katika karne hii ya 21.
 
Achana na historia hizi zinaweza kutwistiwa ili kufit narrative na malengo ya wanayoisimulia.
Muda tunaoishi ni sasa.
Muda unaomatter ni sasa.
Muda wa kufanya mabadiliko ni sasa.
Afro...
Sijaelewa unakusudia nini.
Sijaona tatizo lolote katika uandishi wangu.

Publishers wanachapa vitabu vyangu na vinasomwa kwingi.
Hakuna publisher aliyerejesha mswada wangu.



 
Kuhusu Taylor na Frisch naomba utujuze japo machache
Jabulani,
Udigoni nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Michael Taylor.

Shule niloyosoma elimu ya sekondari kulikuwa na akina Frisch wake kwa waume ndugu.
 
Hii kwamba Nyerere alipokelewa na Abdul Sykes na akaikuta TANU, hapa umeamua kutumia kalamu yako vibaya kupindisha ukweli sababu ya chuki zako binafsi dhidi ya Nyerere. Unajipa kazi ngumu ambayo huwezi kubadili ukweli.
 
Sidhani kama ilikuwa inawezekana Wajerumani kuchukua askari kutoka koloni la Wareno Msumbiji au babu yako mmanyema kutoka koloni la wabelgiji kuja kuwasaidia kupigana Tanganyika , wakati kwenye hayo makoloni napo kulikuwa na vurugu. Kuna changa la macho unatupiga hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…