technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
HakikaNikapige kura ili iweje?
Aftwr lissu itabidi kuanzishwe inoccense program ya kuviti tena mafile ya kesi mbali mbali zenye utataKwa madudu aliyoyaibua huko mahakamani ninajiuliza ni watu wangapi wamefungwa kwa upuuzi wa serikali na hatujajua maana kesi zao hazijapata kumulikwa na watu wengi kama hii kesi yake ya kubumba.
No reforms no election.
Free Lissu.
Ni muhimu kuwa independent commission of inquiry itachunguza madhila yote na watu kuwajibishwa kwa waliyoyatenda.Aftwr lissu itabidi kuanzishwe inoccense program ya kuviti tena mafile ya kesi mbali mbali zenye utata
Kuna madudu mengi mno kwa jinsi hii