Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

Ndugu hili lilikua tatizo la timu nzima. Kipinxi kile ilikua Yanga isipopata matokeo kipindi cha kwanza ilikua mtihani kutoboa kipindi cha pili. Kama ni mfuatiliaji nadhani utakumbuka vizuri.
Sio tatizo la timu ni mchezaji personal mpaka kocha anam-point yeye kama tatizo sio jambo dogo
 
Sasa kwenye takwimu si ndio nakupoteza kabisa huko.
 
Hii inatokea mara nyingi tu kwa wachezaji wengi hata Chama. Niambie Chama alikuaje kabla hajasimamishwa na sasa hivi? Inatokea siku moja moja game kumkataa mchezaji na sio kila siku
Nimekupa references za mechi zaidi ya moja tena ambazo zinafuatana

Hata tukisema tutumie vigezo vya namba bado Azizi Ki hawezi kumfikia Chama hata robo.

Kwa rekodi tu ni kuwa Azizi Ki ameisaidia timu kwenye mechi moja tu ya maamuzi kule Club Africain.

Moja tu.

Nitajie mechi nyingine ambayo Azizi Ki aliwahi kuiweka mechi mabegani na kuamua matokeo.
 
Shida yenu kubwa mnahisi tunamdharau Chama. Elewa hilo kwanza
 
Naomba hizo interview ambazo coach alisema hayo maneno direct kwa Aziz Ki.

Aziz Ki keshasimama game nyingi sana labda kwakua sio shabiki wa hizi Yanga labda kwa uchache match na Azam, Simba zaidi ya mara 2, match nyingi za ligi anagonga double double peke yake
 
Hivi game kubwa huwa mnamaanisha game zipi?
Chama alishawahi kutakata kwenye mechi nyingi sana hatua ya makundi klabu bingwa!Sasa najiuliza kama dhidi ya As vita,Al ahly, Wydad n.k ametoa mchango na kuwa anafanikisha timu inapata matokeo na kuendelea na hatua inayofata,nyinyi wenzetu mnazungumzia mechi kubwa zipi?Au game kubwa mnajua ni Simba sc vs Yanga peke yake?tofauti na hapo hamuoni game kubwa!Lakini hata nyinyi alishawahi kuwafunga,ni vile tu mnajitoa ufahamu na kueneza propaganda.
 
Toa data Chama anayo magoli zaidi ya 17 CAF Champions League haya toa data za wachezaji wako!!!
 
Wewe timu yako kuingia hatua kama hii tangu mwaka 1998 ingekua zinaingia timu ndogo na ww si ungekuepo hatua ha makundi??
 
Punguzeni utoto.

Chama ni kipimo cha kila mchezaji anayekuja bongo km kiungo mshambuliaji.
 
Hizo interviews kuzipata sio rahisi kulingana na heading zilivyowekwa hazi match na maongezi aliyosema.

Ila kama ungekuwa unafuatilia nyuzi za live updates hicho kitu ungekuwa umekiona maana tumekizungumza sana hata Gongowazi mwenzako ukikaidi utapigwa2 anajua.

Ni wewe tu ambaye hiyo ilikupita
 
Benchikha hamkubali chama lakin Kwa Simba pale inambid alazimike kumkubali maana Kwa Simba Chama ni Bora kuliko wengine.

Benchikha alishamkataa Chama pale Berkane
 
Chama ni GOAT hawezi kushindanishwa na upcoming player

Kwenye viunga vya CAF Champion league Chama ni icon ambayo inaishi miaka mingi.

Pacome ni upcoming lazima tumuweke kwenye mzani na Chasambi ambaye ni upcoming mwenzake.
Akizimia nistue nimlandike kibao aamke.
 
Sasa wewe ndio unanipinga inabidi uje vielelezo vyako. Hadi hiyo muelezwe
Ok boss, tusipoteze muda, kwa ufupi Huna takwimu boss, una mahaba na Yanga. Kuna uzi humu wameweka takwimu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…